kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,353
- 487
Kama wameanza majadiliana huo ndio uungwana, kila la heri mliokoe taifa katika dhahama inoyotaka kutokea. Hatutaki yatokee ya Libya. Nilipenda yule Agripa mama mbunge wa Kigoma huko aliwapasha kwamba kuwa mjengoni si kwamba mna aikli kuliko WaTZ milioni 40 walio nje ya mjengo. Ndio maana unaona wazee-senior citizens- wameamua kutumia busara za ziada ambazo ni hadimu kupatikana mjengoni