klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
taratiiiiiiiibu maana nzima ya ndoa inazidi kupotea daily....
klorokwini akak loya ndo mambo gani haya mmefanya na erotica?
Hii wataiweza wale wanachukulia ndoa ni kwaajili ya kujifurahisha kimwili tu na si vinginevyo. Yaani nimruhusu wife kuwa na mtu mwingine at the same time nami nijichukulie kiburudisho kingine hamu ikirudi kwa wife nirudi dah hii kali siwezi hata kwa mtutu
kweli kabisa....ndio maana nakukubali Ticah....hasa hiyo ya matumizi kwenye penzi jipya na hiyo ya hakuna kukataa tendo la uumbaji....
chagua lunch wapi leo....huwezi kunikosha namna hii nikakuacha hivi hivi...
tatizo wanakataa huku wanafanya.....
we leta mchanga mi naleta faya eksitingisha....
taratiiiiiiiibu maana nzima ya ndoa inazidi kupotea daily....
klorokwini akak loya ndo mambo gani haya mmefanya na erotica?
U-Cameroon ndivyo unavyoanza !!! Sasa hao watoto wa Ndoa Huria wanakuwa na Wazazi Huria pia ?
Hakuna sababu ya kubishana Erotica...ukiamua kufanya hivyo lazima uwe na moyo wa chuma....kama umempenda mtu lazima utakuwa na wivu naye tu...unless umeokokea kwa nabii mmoja anakunywa kunywa hovyo anaitwa Tito
Erotica,
Nakupa zoezi moja tu, hapo ulipo fikiria tu kwamba yule mpenzi wako anayekufanya uende staili za kutesa unampigia simu na mara anapokea bi dada tena akiwa anatweta ikimaanisha kinachoendelea huko sio muafaka sana kwa upande wako. Je utajisikia namna gani ndani ya moyo wako?
Ntakupa mfano mmoja pia, moja ya watu walioko katika mtindo huu wa ndoa ni Will Smith na Jada Pinkett. Kama ni mfuatiliaji wa mambo utakuwa umesikia kwamba miezi kadhaa iliyopita walikuwa na mgogoro uliotokana na wivu baada ya mmoja wao kumuona mwenzie kama anachepuka vile. Pamoja na kwamba kimsingi walikubaliana tangu awali kuwa katika mtindo huo wa ndoa lakini "vigezo na masharti vinaonekana kuwa vigumu kwa wote wawili.
Mantiki yangu hapa ni kwamba inawezekana katika hatua za awali mkawa na makubaliano hayo, lakini kwa kuwa moyo hauko computerized, mnapoendelea kuishi pamoja mapenzi hujengeka, mapenzi yanapojengeka huumba wivu (Ni moja ya matendo wanasayansi wanayaita involuntary kama sijakosea) na pale inapofikia hapo theres no signed contract apply tena.
Mwisho nasema hivi, "if you feel like you dont wanna be with someone for long, never put any commitment"
Erotica naomba ufafanuzi kidogo hapo kwenye bold, naona dalili ya uchoyo hiyo imeanza!
About the whole thing ya Open Marriage; inakuja kwa kasi siku hizi. Nilikuwa naongea na friend of mine, Mrusi kaoa Mmarekani (nafikiri kwa ajili ya makaratasi) yaani anawish sana wangekuwa na arrangement hiyo. Aisee mimi na miwivu yote hii, sidhani kama nitaweza labda nisipende.
Kwa wanaoweza ni bora kuliko kuumizana kwa cheating zisizoisha. Kwa sababu kama ni dhambi kwa kucheat bado unafanya dhambi. Ila kama kuna watoto, l am sure hamtakuwa mnawaangalia kwani kila mtu atakuwa anakimbia kutafuta new excitement somewhere! LOL
heheh Erotica hii ndio ile katiba mpya imeanza kutumika?
Halaf simu yako haipatikani. uko na nani leo? katiba hairuhusu kuzima sim
unaposema U-cameroon una maana gani? kama swala ni kuliwa tgo, wanandoa na
wapenzi wanaona fasheni siku hizi. wala haiitaji open marriage kuweza u cameroon.
Open marriage msingi wake ni kutokuwa na wivu tu!
Unapaswa kusema baadhi ya wanandoa na wapenzi wanaona kuliwa tigo ni fashion, lakini sio wote kama unavyoonyesha kwa kusema "wanandoa na wapenzi wanaona ni fashion". Ni kweli "open marriage" msingi wake ni kutokuwa na wivu kwa mwenzako, lakini huo ni utamaduni wa "magharibi" kama ulivyo U-kameroon ambao pamoja na kwamba unasema ni fashion lakini, haupo kisheria; na ulianza taratibu kwa kificho baadaye ukakomaa na kuomba uhalalishwe. Kuna baadhi ya watu ukimwambia kuhusu mambo ya tigo kama ni mapenzi au ndoa itaanza kuyumba maana ataona huna maadili. Msingi mkuwa wa Open Marriage, kama ukifuatwa unaweza kuteketeza kizazi cha binadamu kwa magonjwa ya zinaa hususan HIV/AIDS. Kumbuka hata wanyama wana-practice open maariage, lakini wana wivu, ndio maana unaona dume la ngombe linampiga dume mwingine pembe wakati waking'ang'a kupanda jike.