katiba mpya

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
siku za hivi karibun tanzania imekuwa ikizizima kwa madai ya katiba mpya, lakini kitu kinacho nipa wasiwasi ni kwamba je tayari tumeshapendekeza vipengele ambavyo vinatakiwa kufanyiwa mabadiliko?
 
Kuna Post ya Katiba Mpya hapo juu, unaweza kuchangia kule.
 
siku za hivi karibun tanzania imekuwa ikizizima kwa madai ya katiba mpya, lakini kitu kinacho nipa wasiwasi ni kwamba je tayari tumeshapendekeza vipengele ambavyo vinatakiwa kufanyiwa mabadiliko?

Ukiwa mgeni jaribu kuperuz humu watu washayazungumza sana since 2006 huku we leo unakurupuka.
 
Nadhani wanaojibu swali la muhusika ndo wanakurupuka, tatizo lake sio madai ya katiba mpya, ni kwamba je, wameainisha kinagaubaga ni vipengele gani vya katiba vinahitaji mabadiliko?
 
Katiba mpya haina maana ya kubadili vipengere vya katiba ya zamani. Ni katiba mpya na mambo mapya.............Period.
 
Back
Top Bottom