Katiba mpya

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Wiki ijayo tume ya katiba mpya itakuwa mtaani kwetu. Naomba wanajf mnambie ni mambo yapi yaondolewe kwenye katiba iliyopo na mambo yapi yawekwe kwenye katiba mpya. Naomba mchango wenu iliniwasilishe kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom