Katiba mpya

chris n

Member
Apr 1, 2012
59
19
wanajamii, tusaidiane kuelimisha umma, umuhimu wa katiba mpya. watu wajitokeze kutoa maoni
 
Mbinu ya ccm na serikali yake ni kuhakikisha kuwa viongozi wa CHADEMA wanakuwa busy na kesi zao za ubunge mahakamani ili wasiwe na muda kuchangia kwenye majadiliano ya uandikishwaji wa katiba mpya; na ndio maana mahakama zinajihusisha sana na kesi hizo sasa!! Lengo la mkweree ni kufanya uchaguzi wa 2015 na katiba hii hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom