Katiba mpya!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Hivi ktk katiba mpya kiwekwe kifungu kuwa kila mmoja amuoe aliye mtoa bikira. Je! Huyo uliye nae utamuoa au ataenda kwa aliyemtoa bikira?. We utampata wa kuoa au wa kwako wote uliwapata tayar wameshafunguliwa?.
Swal kwenu.

Hapokazi ipo!!!!
Mi ntakuwa nao kama 8 hivi ila ntmkosa mwenzi wangu (mama watoto)!!!!

Hapokazi ipo!!!!

Mi ntakuwa nao kama 8 hivi ila ntmkosa mwenzi wangu (mama watoto)!!!!

litakuwa bonge la loss. Mimi binafsi ningekosa wa kuoa. Hata mama watoto wangu pia ningemuacha.

Nitakuwa msimbe, bora CcM wasipitishe hicho kifungu, vingnevyo CdM wanaondoa shillingi!

Wanaume wengi watakosa wa kuwang'oa maana bikira zingine huondolewa hata na baiskeli au shughuli ngumu ngumu na mijamaa ambayo ilianzia primary inaweza kuoa hata kumi, kutakuwa na mabachelor kibao.

Back
Top Bottom