KATIBA MPYA: Werema asishirikishwe kwenye 'Tume' ya JK

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Kutokana na kiburi alicho alichoonesha kwa wananchi, Werema asubiri wa2 wenye akili zao wafanyie kazi Katiba Mpya na yeye abaki na viraka vyake. Jk anajionea wenyewe udhaifu wa wateule wake. Werema hafai hata kuwa M|sheria wa Halmashauri. Jk 'kamvua' nguo...
 
Tatizo la jk ni kwamba anawaogopa sana hawa mabwana.Werema,Kombani walipaswa kufutwa kazi kwa kuudanganya umma kwa kauli zao juu ya katiba,ni watovu wa nidhamu.
 
Nilipata fursa kuongea na watu waliowahi kuwa darasa moja la sheria na Werema. Mwalimu wao alikuwa ni Dr. Harisson Mwakyembe. Wanasema kuwa Werema alikuwa mwanafunzi dull sana darasani. He had a thick head. Uelewa wake wa mambo na sheria ni mdogo sana, huwa anatumia ukali, nguvu na kufoka zaidi kwa vile anashindwa kujieleza kwa ufasaha na kujenga hoja.

He is an academic and professional misfit, ndiyo maana hata Bungeni anapata shida kujibu hoja za kisheria.
 
Werema na Kombani naona walikuwa wanataka kujikomba kwa JK ila kawaumbua bse Jk siku izi anasoma alama za nyakati
 
Nilipata fursa kuongea na watu waliowahi kuwa darasa moja la sheria na Werema. Mwalimu wao alikuwa ni Dr. Harisson Mwakyembe. Wanasema kuwa Werema alikuwa mwanafunzi dull sana darasani. He had a thick head. Uelewa wake wa mambo na sheria ni mdogo sana, huwa anatumia ukali, nguvu na kufoka zaidi kwa vile anashindwa kujieleza kwa ufasaha na kujenga hoja.

He is an academic and professional misfit, ndiyo maana hata Bungeni anapata shida kujibu hoja za kisheria.

Hi man! Umenigusa sana, baada ya kauli zake mbili za kuhusu Dowans na Katiba sitamani hata kumwona
 
Werema na Celina walishaonyesha rangi zao hasi kuhusu katiba. Kuwashirikisha ni kuchafua mchakato mzima.
 
tena huyu akafie mbali kabisa...........hatakiwi kushirikishwa
 
Na msishangae mkiona wao ndiyo wanaongoza hiyo Tume (kama itaundwa kweli)...
 
Back
Top Bottom