Katiba mpya:tendwa asajili vyama vya tanganyika tu

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,092
Nimefanya utafiti kwa muda sasa na kugundua kuwa ukiondoa chama-dola (ccm) au mkoloni mweusi ambacho ni dhahiri kuwa kiko madarakani, Tanganyika na Zanzibar, kimabavu {i stand to be corrected}. Vyama vya CUF (Washindi Zanzibar) na CHADEMA (Washindi bara) haviwezi kukidhi mahitaji ya pande zote za Muungano, Tanganyika (r.i.p) na Zanzibar. Namshauri bwana Tendwa afute kifungu cha kuwa chama lazima kikubalike nchi zote mbili. CDM inakubalika sana bara lakini haikubaliki kabisa visiwani. CUF inakubalika sana visiwani na haikubaliki kabisa bara kwa wakati huu.
 
Back
Top Bottom