Katiba mpya ni ya watanzania si ya vyama vya siasa

kemondo

Member
Nov 30, 2012
9
0
Wakati mchakato wa katiba mpya unaendelea kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wameanza kusema hili tunalitaka hili atulitak,i kwani katiba mpya ni ya vyama vya siasa? Tunataka katiba mpya ambayo itaweza kuodoa kero za kiutawala,kero za kijamii, kero za muungano,kero za uchaguzi,kero za matumizi mabaya ya madaraka na kadharika na iwe nguzo ya kudumu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Kwa mfano serikali moja Tanzania aiwezekani, serikali mbili za sasa ni mgogoro mtupu nazo azitakiwi. Kama ni hivyo serikali tatu ndio suluisho kwa Tanzania ya leo.au unasemaje mwenzangu?
 
Mkuu hujakosea! CCM wameshaanza kuonyesha kua wao ndio wanataka kuwapangia Watanzania katiba hii!
 
Back
Top Bottom