Katiba mpya na mahusiano

Mwalimu Gaijin utanifanya nifute mipango yangu ya kwenda kuongeza ujuzi ujue!!!!:madgrin:

hahaha usitaharuk' mkuu................wee unataka tufanye mingapi? majadiliano bado yanaruhusiwa :teeth:
 
Huo muda unaweza kubaki...ila definition ya separation iwe wazi...kwamba safari ambazo hazihusu kutengana (kikazi. kimasomo nk) sio separation...
 
mtu atakwambia alipata kazi Tandale na mkewe anakaa Kitunda ikabidi asionane nae kwa miaka miwili :p

Wewe nenda safari............ukirudi tutakufungisha ndoa upya ....teh teh teh
 
Hahaaaaa....you made a saturday kwangu.....nasepa...muda wa ulabu huu!
 
Back
Top Bottom