Katiba Mpya na maendeleo yetu

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Nimekuwa nikisikia kwenye redio na Tv na kusoma magazeti na mitandao jamii ambako baadhi ya watu wamekuwa wakisema kuwa katiba mpya haitatuletea mabadiliko katika maendeleo yetu na kwamba watu wasidanganyike.
Tangu wakati huo nimekaa chini na kutafakari sana kauli hizi maana zingine zimetolewa na watu wasomi wanaoaminika sana na zingine zimetolewa na wanasiasa.
Sasa je kama kweli katiba haitaleta mabadiliko yoyote katika maendeleo yetu tunasumbukia nini kuibadilisha hii iliyopo iliyodumaza maendeleo yetu kwa kuweka loopholes za viongozi kufanya watakavyo au viongozi wetu kuwa mamlaka ya mwisho ya maendeleo yetu? si bora kubaki na hii hii iliyopo tuendelee kupata maumivu kwenda mbele?
 
Back
Top Bottom