Katiba mpya na maboresho ya daftari la kura ni mazishi ya CCM

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
jamani wadau, nimetafakari vya kutosha kufuatia wimbi kubwa la mageuzi linalovuma hapa nchini ambapo kila sehemu wana kiu kubwa ya mabadiliko, yaani inapotokea sehemu fulani labda kuna uchaguzi mdogo, basi kila mtu anatamani huo uchaguzi ungefanyika ktk jimbo lake ili apate fursa ya kuonyesha hasira zake kwa hiki kikundi kinachojiita ccm, sasa imedhihirika kuwa ccm imekuwa ikitumia udhaifu wa kikatiba kama kuwa na mwenyekiti wa tume anaeteuliwa na mwenyetiti wa ccm, na pia kwa kutumia orodha ya zamani ya
 
Back
Top Bottom