Katiba mpya na fiksi za wakuu wa Wilaya.

saita

Member
Jun 23, 2012
35
1
Inasikitisha kusikia tayari wakuu wa wilaya ambao ni mkada wa chama cha mapinduzi tayari wameshaanza kuichakachua mpango wa ukusanyaji wa maombi ya katiba mpya.

Wanawapanga watu wa kuongea na vitu vya kusema huku wakiwaelekeza wenyeviti wa kata kuwapointi kila wanaponyosha vidole na kuwaacha wengine wenye mawazo huru.

Je? kwa mpango huu wa four- four two ya ssm tutapata katiba mpya itakayotokana na mawazo huru?
 
Back
Top Bottom