Katiba mpya: Mbunge akihama chama chake na kuhamia chama kingine abaki na ubunge wake.

Mwakiluma

Senior Member
Jan 23, 2012
120
47
Maoni yangu katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachoongelea uhuru wa mbunge. Katika uhuru huo pamoja na mambo mengine itamkwe wazi kwamba mbunge ana uhuru wa kwenda chama chochote na bado akabaki na ubunge wake pia iongezwe kuwa mamlaka ya kumfukuza mbunge ubunge iwe mikononi mwa wananchi waliomchagua tu. Haya ndio maoni yangu kwa tume hii ya Warioba...wewe unasemaje, Tujadili....
 
Back
Top Bottom