Katiba Mpya - Maoni ya viongozi wa juu Zanzibar

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
shein-and-seif2-255x300.jpg

Wakati Makamu wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif akiwa Pemba alitamka wazi kuwa na maoni ya kuuvunja muungano wa Tanzania kwa kutaka kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa kirejeshwe, Rai wa Zanzibar hajatamka lo lote kukubaliana au kutokubaliana na maoni ya Makamu wake. Pamoja na kuwa na sera tofauti, lakini tungetazamia wakashauriana kuwa na kauli moja yenye kuwaunganisha Wazanzibari wote.
 
Tulitegemea washauriane kabla ya kutoa matamko yao ili yasiwachanganye wananchi, otherwise nadhani Serikali moja ndio suluhisho.
 
Tulitegemea washauriane kabla ya kutoa matamko yao ili yasiwachanganye wananchi, otherwise nadhani Serikali moja ndio suluhisho.

Unaposema serikali moja ndio suluhisho maana yake taifa la Zanzibar life na ubaki kama ulivyo mkowa wa Katavi?
 
Tulitegemea washauriane kabla ya kutoa matamko yao ili yasiwachanganye wananchi, otherwise nadhani Serikali moja ndio suluhisho.
shein-and-seif2-255x300.jpg

Hii picha poa sana, walipiga lini hivi? Walishamalizana mikwara sasa ni pax te cum
 
Back
Top Bottom