mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 22,640
- 8,412
Great thinkers! Nawaomba sana mzame na tulitafakari kwa makini na kama litakubalika liwekwe kwenye Katiba Mpiya. Ni hili hapa, "KATIBA ITAMKE KWAMBA NCHI HII NI KWA WANANCHI HALISI TU." NA HAKI ZAO ZIBAINISHWE KIKATIBA. Naomba mnielewe kwamba sina maana kwamba watu wengine watengwe la hasha! bali haki zao ziwe na mipaka Kikatiba! kama ilivyo katiba ya India imebainisha wazi kwamba: "India is for pure indians." Nawasilisha.