Katiba mpya haimo kwenye ilani ya CCM

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Sidhani kama ni sawa kumpa mzigo wa kubadilisha katiba mhe. RAIS KIKWETE. Kazi hii hakutumwa na chama chake (si ILANI YA CCM). Tumuache afanye kazi liyopewa kwa miaka 5 hii, kisha agenda ya katiba mpya itanadiwa 2015 kwenye ilani mpya. Mhe. KIKWETE kuwa makini na movement hii inayojifanya yahitaji katiba mpya. Wewe umechukua ahadi kubwa nyingi za maendeleo ya wananchi, KATIBA haimo.
 
Back
Top Bottom