Katiba mpya: Badiliko moja la muhimu kwako

mnataka kutuchanganya bana..hebu tulieni kwanza tupigwe elimu ya uraia...kwanza sasa hivi tunakaa kama kamati kujadili matokeo ya mwanaasha sasa msitupotezee konsentresheni

Mimi siamini kuwa elimu ya uraia itatuambia ni nini tunataka, hilo tunajua kwa hiyo tuseme. Naelewa kwa sehemu tunapotoshwa huenda kwa makusudi ili tuamini kuwa iinabidi tupewe elimu ya uraia ndiyo tuweze kusema tunataka nini.
 
Usalama wa taifa, majukumu yake yaelekezwe kwa taifa kweli na isiwe katika misingi ya kulinda viongozi wabovu na kufumbia maovu.
 
Back
Top Bottom