Naomba msaada jamani.Nina changanyikiwa kuhusu utata uliopo sasa kuhusu Katiba.Kubwa lilopo mbele yetu ni Bili ya utaratibu wa kubadili katiba na sio kuandika katiba.Kinachonikera ni kuwa wadau wengi wanapinga bili hiyo ya utaratibu lakini hoja zao zote ni zile za kupinga katiba.Penye ukweli uongo hujitenga.Hebu tuacha bili ya utaratibu ipite halafu tuwe kama ngamia kwenye katiba yaani unaanza kichwa na mwisho mwili mzima