Katiba imevunjwa???

taasisi ya umma (mazengo sec. Dodoma) ilipopokwa majengo yake na kupewa wakristo kuanzisha chuo kikuu katiba ilivunjwa?

Na kutoa hela za serikali za umma kuendesha shughuli za kanisa katiba inaendelea kuvunjwa kila mwaka?

Hizi hela zinapokuwa hazifanyiwi auditing na kamati ya bunge katiba inaendelea kuvunjwa?

shule ya mazengo ilijengwa na kanisa kabla ya kutaifishwa kama ulikuw ahaujuwi...........iliitwa dododma alliance
 
shule ya mazengo ilijengwa na kanisa kabla ya kutaifishwa kama ulikuw ahaujuwi...........iliitwa dododma alliance

Shule ngapi zilizojengwa na waislamu hazikurudishwa? mfano: Tambaza, Azania, Kichwele etc...

Kama hufahamu hata Muhimbili Hospital ilijengwa Sewa Haji Foundation (taasisi ya kiislam) nyerere mkatoliki kataifisha...na haikuridushwa..

Bado serikali hiyo hiyo inawapendelea wakristo kwa MoU yenye kuwapa hela za umma kuendesha shughuli za kanisa?

Halafu wakristo wanavyopenda ubaguzi na upendeleo wanaona sawa..hakuna anayekataa..as long anapewa ufisadi..

Katiba bado imevunjwa??
 
Back
Top Bottom