Kati ya wanaotoka bungeni na wanaoitwa kwenye cocus wanambembelezwa wanatulia nani watoto?

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Kuna kamchezo wameshaona fashion wabunge wa CCM wanalalamika badae wakiitwa chemba kwao wanambembelezwaa wananyamaza..nawafananisha na watotoo wanaolia wakitaka wambembelezwe tu sijui nakosea au ndio taratibu jamani..unajua huwa nawaza wanasumbuaga nn sasa kama badae wakiitwa tu wananyamaza nakosa jibu nisaidienei jemeni..!na wale wanaotoka bungenio si wanaambiwaga ni watoto sasa nani kati ya makundi haya mawili yanafanana na tabia za mtoto?
 
Back
Top Bottom