Kati ya supu zote unapendelea ipi?

Binafc napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagza kichwa maana bila ya kula jicho cjajickia kama nimekula.Lakini pia kma hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho bac unamatatizo kiafya.Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee wewe unapenda ipi?

Mi na kisukari simo
 
Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula. Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho basi una matatizo kiafya. Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee.

Wewe unapenda ipi?
Mi napenda supu ya utumbo
 
Supu ya mchicha, wengine wanaweka na carrot kidogo lakini kwangu hata mchicha na kitunguu tu inatosha tena ulewna chapati.
 
Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula. Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho basi una matatizo kiafya. Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee.

Wewe unapenda ipi?
Supu ya kolofindo je umeshawahi kufyonza kile kichwa chake
 
Back
Top Bottom