Kati ya Sera Bora za CCM - Tujikumbushe Utajiri Wetu Uliopotea

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
CHAMA CHA MAPINDUZI < <jarida la mkereketwa> >

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sera ya CCM ya Ubinafsishaji wa Mashirika
ya Umma ni ukombozi mkubwa
[/FONT]

  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ukuzaji wa ajira umeongezeka[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mapato ya Serikali yameongezeka[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Watanzania wanunua mashirika mengi[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Marekebisho ya Mazingira ya Tanzania yamegusa maeneo yote, yaani, siasa, sheria, huduma za jamii, sekta ya fedha na uchumi kwa jumla. Hata hivyo kutokana na mabadiliko yanayotokea duniani hivi sasa tunahitaji pia kubadilisha utamaduni wetu, mtazamo wetu na fikra zenu. Miaka zaidi ya 35 ya uchumi hodhi inatuhitaji tukabili zama hizi za uchumi wa soko huria na utandawazi.
Ubinafsishaji ni moja ya mbinu za kurekebisha uchumi wa nchi ambao ni kama asilimia 2 tu ya utaratibu wote wa urekebishaji huo. Kimsingi Sera ya Ubinafsishaji ambayo ni ya CCM imelenga katika kuifanya Serikali iachilie kuhodhi nguzo kuu na nyenzo za kuzalisha mali na uchumi na badala yake jukumu hili kuliachia Sekta Binafsi. Serikali imebakia na jukumu la kuboresha masuala ya sheria na utawala bora pamoja na uimarishaji wa miundo mbinu na suala zima la kuendeleza huduma za jamii. Ubinafsishaji huchukua moja kati ya sura zifuatazo:-
· Uuzaji wa kiwanda/shirika moja kwa moja
· Utaratibu wa Ubia
· Uuzaji na ununuzi wa hisa
· Ununuzi ufanywao na Menejimenti
· Ubinafsishaji wa Mashirika ya Miundo mbinu.
Chimbuko la sera hii lilianza miaka ya 1980 wakati tuliposhindwa kabisa kihimili na kuyaendesha mashirika na kuyaendesha mashirika yetu mengi. Hadi mwaka 1990 zaidi ya mashirika 400 yaliliingiza taifa hasara ya shs. 100 bilioni na yalikuwa yanadaiwa kodi ya shs. 352 bilioni. Kiwango cha uzalishaji viwandani ulifikia asilimia 25 ya uwezo. Mashirika 70 tayari yalikwishafilisika na Watanzania wengi kupoteza ajira. Tukumbuke wakati ule wa uhaba wa bidhaa. Magendo na ulanguzi vilikithiri na urasimu na menejimenti dhaifu vilitawala. Mashirika haya hayakuendelea kwa maana ya kubadilisha teknolojia, kukuza mitaji, ujuzi, rushwa ilikithiri ikiandamana na upendeleo. Kanuni zote za kiuchumi zilikiukwa.
Hali hii ilikifanya Chama chetu cha CCM kuona ni njia zipi zinahitaji kutekelezwa. Ilipofika mwaka 1992 Bunge lilipitisha sheria kuruhusu Sekta Binafsi kumiliki, kuendesha na kununua mashirika. Na mwaka 1993 Bunge lilirekebisha sheria hiyo ili kuruhusu kuanzishwa kwa Tume ya Rais ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Kimsingi madhumuni ya Ubinafsishaji yamelenga katika kuendeleza tija, kupanua wajibu wa Sekta Binafsi, kukuza nafasi za ajira, kuendeleza mitaji na teknolojia ili kukuza uchumi wetu.
[/FONT]
dahaco.JPG
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mashine ya kisasa ya kupakia na kupakua mizigo kutoka kwenye ndege. Mashine hiyo ni moja ya vitendea kazi vya kisasa vinavyotumiwa na DAHACO baada
ya kubinafsishwa.
[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Matokeo yake ni kuwa hadi Machi 2003 mashirika 266 yalibinafsishwa na 47 yaliwekwa chini ya ufilisi. Kati ya mashirika yaliyobinafsishwa na 47 yaliwekwa chini ya ufilisi. Kati ya mashirika yaliyobinafisishwa 134 yamenunuliwa asilimia 100 kwa Watanzania kwa thamani ya shs. 63 bilioni. Zaidi ya mali 265 (non core assets) yamenunuliwa na Watanzania.
Mashirika 16 yenye thamani ya shs. 4 bilioni yamenunuliwa na “Wawekezaji kutoka nje wakati mashirika 116 yamenunuliwa kwa njia ya ubia kati ya Serikali, Wawekezaji kutoka nje na Watanzania kwa thamani ya shs. 400 bilioni. Aidha mashirika mengine 16 yamebinafsishwa chini ya utaratibu wa MEBO kwa mfano NEDCO, KIUTA, Moshi Handtools, Tanzania Publishing House n.k. wakati mashirika 116 yamenunuliwa kwa njia ya ubia kati ya Serikali, Wawekezaji kutoka nje na Watanzania kwa thamani ya shs. 400 bilioni.
Aidha mashirika mengine 16 yamebinafsishwa chini ya utaratibu wa MEBO kwa mfano NEDCO, KIUTA, Moshi Handtools, Tanzania Publishing House n.k.
Vile vile Serikali kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam mashirika kama vile DAHACO, Viwanda vya Saruji, Kiwanda cha Biashara, Kiwanda cha Bia n.k. yameuza hisa kwa Watanzania zaidi ya 80,000. Serikali vile vile inaendelea na ubinafsishaji wa mashirika ya miundo mbinu kama vile DAWASA, ATC, TANESCO, THA, NIC, TRC na NMB.
Takwimu hizi zinaonyesha wazi kuwa mashirika/viwanda vingi vimenunuliwa na Watanzania tukiacha upotoshaji mkubwa unaoendelea hivi sasa kuwa Sera ya CCM ya Ubinafsishaji ni uuzaji wa nchi. Huu ni uzushi wenye nia ya kuipaka matope Sera hii nzuri ya CCM.
Mikakati ifuatayo inatumika na Serikali kuhakikisha Watanzania wanashirikishwa katika kununua mashirika.
[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif].Utaratibu wa Wafanyakazi Wenyewe Kununua Mashirika (MEBO).
.Kuwauzia Watanzania kwa misingi ya thamani ya Vitabu badala ya thamani ya Soko. Mashirika yote ya Usafirishaji yameuzwa kwa utaratibu huu.
· Kufuta kodi kwa KAURU (shs. 251.8m), Mbeya RETCO 9215.8m) na kodi za shs. 47.9m.
[/FONT]
sigara.JPG
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Ubinafsishaji Dk. Abdalah Kigoda akielezwa na mfanyakazi wa Kampuni ya Sigara (TCC) jinsi walivyofurahishwa na ubinafsishaji.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]· Ulipaji wa mafao ya kisheria ya wanaopunguzwa kazini. Hadi sasa Serikali haina deni la mafao ya kisheria.
· Muda wa kulipia Mashirika hayo kwa Watanzania umeongezwa na kuwa mrefu km. Shamba la Chai la Dabaga n.k.
· Wawekezaji wa Tanzania wamekuwa wakipewa viwanda pale wanapotoka.
Makundi Maalum yamepewa upendeleo wa makusudi hasa yale ya ushirika na umoja kwa mfano Kiwanda cha Chai cha Mponde kinachonunua majani ya Chai kutoka Vijiji vya Lushoto na Korogwe, Kiwanda cha Chai cha Rungwe, Viwanda vya Kahawa vya Mbozi, Mbinga, Kilimanjaro n.k.
· Ununuzi wa Hisa kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Utekelezaji wa Sera yoyote lazima uwe na mafanikio na matatizo. Kimsingi Sera ya Ubinafsishaji katika miaka 10 iliyopita imeonyesha mafanikio makubwa sana.
Mafanikio yamepatikana katika ukusanyaji wa kodi kwa Serikali kwani Mashirika na Viwanda sasa vinalipa kodi Serikalini badala ya kungojea ruzuku itokanayo na fedha za walipa kodi. Serikalini badala ya kungojea ruzuku itokanayo na fedha za walipa kodi.
Uzalishaji Viwandani umeongezeka maradufu na ufanisi na ubora wa bidhaa umeongezeka.
[/FONT]
bia.JPG
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mtambo wa kisasa wa kupikia pombe wa TBL unaoendeshwa kwa kompyuta. Haya ni moja ya mafanikio ya teknolojia yaliyoletwa na ubinafsishaji.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]· Ukuzaji wa Ajira umeongezeka baada ya ubinafsishaji. Ikumbukwe kuwa kabla ya zoezi hili mashirika 70 yalikwishafilisiwa. Viwanda vya Saruji vimeongeza ajira, viwanda vya Sukari vya Mtibwa. Kilombero na Kagera vimeongeza ajira; Viwanda vya Tumbaku na Sigara nahivi sasa takriban Watanzania 500,000 wamepata ajira zilizotokana na matunda ya ubinafsishaji kwa mfano – sekta za biashara, ujenzi, usafirishaji n.k.
· Ubora wa bidhaa tunazozalisha umeongezeka.
· Teknolojia mpya imeongezeka viwandani.
· Ujuzi wa biashara umberoka pamoja na kuongezeka kwa mishahara.
· Ununuzi wa hisa unazidi kuendelea.
Sekta ya Viwanda imeongeza mchango wake katika ukuaji wa Pato la Taifa. Serikali ya CCM inaweza kwa kiwango kikubwa kuhudumia na kuboresha sekta ya Huduma za Jamii, Huduma za miundo mbinu ya kiuchumi, Serikali ya CCM inapata viwango vikubwa vya kodi na gawio hivyo kukuza mapato ya Serikali.
[/FONT]
Sasa tunahemea Juu juu
 
Back
Top Bottom