Kati ya Mwanamke/Mwanamme nani anaeongoza kutamani kuoa/kuolewa?

Mtoa Mada umemaliza kwa kishindo umenifanya kucheka kidogo, wanaume huwa na hofu sn ya kuoa kwa 7bb y akutunza siyo kutunzwa, kwetu kuna msemo usemao, nisameheni nitasema kikagulu,'' Dibwa dikuganda, chinyala chinamtwawe'' ndiyo 7bb kubwa ya vijana wengi kuona hakuna haja ya kuoa, pia ukioa kabla ya malengo kunauwezekana mkubwa wakuvuruga yale uliyo yapanga, khy wanaume wengi wanaona bora wasogeze mbele kuoa lkn akina dada wakiona mdogo wake nae ameanza kufuatwa na wanaume anajiona basi nimekwisha wanaume watamuweka pembeni, ndiyo maana wao hawapendi kabisaa kubwagwa baada ya kuzoeana kimapenzi na mpenzie bila kuoana kisheria ili asikurupuke na kutoa macho kwa wadogo wa mdada.
haya ni mawazo gongana 2. siyo lazima niliyosema kuwa haswaaa! maana ya msemo hapo juu nikuwa, mbwa akikonda aibu kwa mwenye mbwa, lkn akinenepa sifa kwa mwenye mbwa, mke c mbwa ila ni misemo wazee wazamani waliitumiaq kwa uzuri 2 kwa faida ya jamii husika.
 
Duh chamkoroma hiyo misemo wkt mwingne inaleta maana mbaya kwa jamii anywy nimeipenda hii aibu lazima ikurudie mfuga mbwa.
 
Majukumu mpendwa najenga taifa, hapo kwenye red unaniandika kisharobaro.
Ha ha ha hv sharobaro ndo nini?je mwanamke anaitwaje SHAROWARO au?pole chetuntu hapo je nimelipatia jina?
 
Wanaume wanatamani sana kuoa ila hawajui wamuoe nani na kuna mambo mengine mengi yanawabana. Hili halina ubish.
 
Back
Top Bottom