Kati ya mramba na rostam ni nani ilifaa atangulie mahakamani kwa wizi?

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Kila nikipekua vitabu vyangu vya sheria nashindwa kujua kipengele kilichomtanguliza Mramba mahakani na kuwaacha wezi walioliibia taifa mchana kabisa, achilia mbali kesi yake kuwa ni kutoa msamaha wakodi, kuna waliokwenda kuiba kabisa benki. na watanzania tukaambiwa na raisi wetu kuwa hawa watu wana pesa nyingi sana na ni hatari kuwashitaki, je KIKWETE atasamehewa na nani?
 
Back
Top Bottom