Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Wewe leo umejua kunichanganya!maana hivyo vuchwa mi sina majibu kwa hiyo kura yangu itakuwa sijui maana wote wanaitwndwa haki tasnia ya uigizaji
 
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
Morgan Freeman ,inabid kwanza umpe heshima yake, huyu mzee kwanza ana golden voice hata asipoonekana kwa video utamsikia tu, huyu mzee ni narrator mzuri, ni mchaguzi mzuri wa maneno ya kuongea, kifupi hajawahi kuongea sentensi kwenye movie zake usipate quotation, Morgan freeman ana heshima Hollywood kuliko muafrica yeyote, usirudie tena kumfananisha na hao watu
 
sitanii mkuu. Deenzel ana Oscar 2, Morgan 1 na Samuel 0. ila kwenye total box office dunia nzima hakuna kama Samuel. nikicheki performance ya Jackson kwenye movie zake huwa nastaajabu kipaji. nikija kumcheki Denzel na Morgan naona nao wamoto.
umecheki the hateful eight (2015) ya Samuel?
 
Kwa vizazi vya sasa wengu zaidi watampenda Denzel kasababu ya nafasi zake za kibabe na malavidavi pia

In USA Morgan Freeman ndio actor mweusi anaye heshimika na kukubalika zaidi kuliko wote

Hii haimaanishi kwambwa Samweli sio mzuri kihivyo...Nope

Kiufupi kila mmoja anafit vizuri kwenye nafasi yake

Mara nyingi Morgan anakua sio leading actor kwakuwa nafasi zake nyingi ni za kuwa mtu wa kutoa maamuzi akiwa kama kiongozi fulani na busara zake

Samweli Jackson yeye bana ni mzee wa misemo sana, japo umri umeenda anafit sana nafasi za kigangstar na ubabe fulani hivi wa mikwara

Denzel bana kizazi cha sasa kinamuelewa zaidi na haswa akiwa leading actor lazima umkubali
 
Samuel anamisemo hadi raha kumsikiliza. umemcheki kwenye Pulp fiction na Jack Brown? pia kuna unthinkable ambayo kacheza kikatili sana. jamaa kasomea uigizaji chuo kikuu.
 
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
Freeman ameakti movie nyingi sana mpaka zingine za kijinga sana, yaani si za level yake. Pia muonekano wake Mara nyingi ni uleule. Huwa nahisi simpendi japo mkali, ila babalao in Diesel, package ya movie tu anayolipwa inajieleza
Denzel, Morgan wamwisho Samuel.
 
Freeman ameakti movie nyingi sana mpaka zingine za kijinga sana, yaani si za level yake. Pia muonekano wake Mara nyingi ni uleule. Huwa nahisi simpendi japo mkali, ila babalao in Diesel, package ya movie tu anayolipwa inajieleza
mi naona mwenye movie nyingi hadi za uzembe ni Samuel. ana box office bombs nyingi sana.
 
Duuuh! Mbona umelinganisha vifaru mkuu! Sa hapo mi wote nawakubali. Ila sijui Denzel Washington kaishiaga wapi!!! Nilikua nampenda sana. Movie yoyote yenya Morgan Freeman naikubali... Charcters wake hua wanabusara sana.
Samuel jackson is good too.

Nikitaka kuwapambanisha then Denzel is my best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom