kati ya me na ke, nani huanzisha mchezo?

nimekuwa nauliza baadhi ya maswala hapa nahitaji kujua.sasa ninapata shida kujua katika ndoa ni nani kati ya mme na mke anapaswa kuanzisha mchezo.kwani mara zote nikianzisha tunacheza hadi mechi inaisha kwa furaha.ila siku nisipoanzisha,mwenzagu hukaa kimya.utata ni kuwa siku nyingine nakuwa nataka ila sijui kama yeye anataka pia,nasubiri aanzishe,wapi! nisipoanzisha hata wiki inapita.ila nikianzisha hata kila siku tunafanya vizuri.sasa nachanganyikiwa.mimi mhaya na mwenzangu mchaga kama hilo laweza kuwasaidia wachangiaji.asante

Hapo kwenye rangi+bold, ndo penyewe hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom