Kati ya maafisa elimu mikoa 21, wakristo ni 16 waislam 5 tu!

Status
Not open for further replies.
Sasa kama wana degrees za Madras utawapeleka wafanye nini? Nendeni shule acheni kubwabwaja nyie. Mtaishia kununa na kulalama tuhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/embarassed.gif
 
acha udini ww tatizo letu tunasoma sana upande mmoja na upande wa pili tunawashia wenzetu.
 
Sheria inafanya kazi gani funga hicho kiredio faster kisituletee kuendeleza udini kama ulivyoasisiwa na mkulu wetu jay key pale Mjengoni.
 
source: Radio imaan fm ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

post hapa vitu vya maana acha mambo ya ajabu. Huo udini wako uishie nyumbani kwako na station yako. We badala ya kuja na hoja kwamba mpunguze vipi kufeli unaleta mambo ya k#***ng*
 
Maafisa elimu hawachaguliwi kwa kigezo cha dini, bali taaluma na utendaji kazi, acha kupotosha watu.
 
12% ya waislamu nchini ndo wanaenda shule, wakati wenzao 78% ndo wanaenda shule. That z the reasoan behind!
 
Source: Radio Imaan FM ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

Mara zote uwa nasema naipenda dini ya kiislamu ila waumini wake wana matatizo ya akili...tuache ujinga nendeni mkasome,sasa tuwape kazi wakati mnashinda madrassa na kusahau elimu dunia? Pumbavu Radio Imaan,na hii Radio ni janga kwa Taifa.
 
Kati ya maimamu wa misikiti minne katika kata yetu, waisilamu ni 4 na wakristu 0
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom