Kati ya Lusinde na Mzee Malecela nani anastahili kuwa mwakilish wa MTERA?

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau,mwaka 2010 kwenye kura za maoni Lusinde alimuangusha mzee Malecela,wadau wengi wakasema si vibaya kwa vijana kushika hatamu,weng wakaamin kuwa jimbo la MTERA limepata kijana atakayewawakilisha,hasa alipojipachika jina la 'KIBAJAJI',
Lakin kinachoendelea sasa ni tofaut,si NDANI YA BUNGE si NJE YA BUNGE,bwana Lusinde huwa hana la maana analolizungumza.katika kikao cha bunge la Bajeti la mwaka jana niliwah kumuona LUSINDE akisema kuwa'MH.SPIKA NAOMBA WABUNGE WAKAPIMWD AKILI'kama sijamnukuu vibaya,Juz Lusinde huyohuyo ameporomosha matus Arumeru.
HAPA NDO NAULIZA LUSINDE NA MZEE MALECELA NI NANI ANASTAHIL KUENDELEA NA WANA'MTERA.HAPO SITAK KUHUSISHA MTU WA UPINZANI,TUWAJADIL WAO KWA WAO.
 
Hapo hamna hata mmoja,
Labda Kwa mbaaaali @NY, Le Mutuz, Baharia wa Nchi Kavu, Big Show, Mbunge EA.
 
Tumbili na ngedere wote ni MANYANI TU!
Kenge na mamba wote ni MIJUSI TU!
Kulia na kucheka zote ni KELELE TU!
 
Inaelekea mmekwisha amini sasa kuwa baharia hawezi kupenya kuwa mbunge wa E.A. na mmeamua kuanza kumpigia ndogondogo huko Mtera!!

walonielewa wamenielewa na nashukuru,thats y wanachangia,we kama hujanielewe,RUDIA HUO UZI
 
Kwani wewe ni wa Mtera mpaka uwachagulie? Uwezo wao na akili zao huwa zinaendana na Mbunge waliyenaye nasema hivi sababu naangalia watu kama Arusha kutokana na maisha yao na aina ya wakaazi na mbunge wao wanaendana nao vivyo hivyo na majimbo mengine ambayo hayakuchakachua kura zetu
 
Kwani wewe ni wa Mtera mpaka uwachagulie? Uwezo wao na akili zao huwa zinaendana na Mbunge waliyenaye nasema hivi sababu naangalia watu kama Arusha kutokana na maisha yao na aina ya wakaazi na mbunge wao wanaendana nao vivyo hivyo na majimbo mengine ambayo hayakuchakachua kura zetu

hahahah,nimependa uchambuz wako wa WABUNGE,TABIA ZAO NA TABIA ZA WAPGA KURA WAO KWENYE MAJIMBO YAO,
NSAIDIE KWENYE MAJIMBO HAYA.
-temeke
-ilala
-kinondoni
-bumbuli
-urambo
-kigambon
 
Back
Top Bottom