Kati ya JF, Twitter na Facebook ipi bora?

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Kuna ubishani niliukuta sehemu walikuwa wakiulizana kati ya JF, Twitter na Facebook ipi bora?

Tuwasaidie hao watu.
 
Kwa kutafutia totoz za ukwel i prefer fcbuk,si haba na mi nilibahatisha huko
 
JF ni bora kwangu naweza nikapitisha hata siku 3 sijaingia FB au Twitter lkn haipiti nusu saa sijaingia JF.
 
Jf hata ukiwa na matatizo ukileta hapo 90% wachangiaj watakushauri kwa ufasaha.fbuk kudanganyana tu unakuta msichana kaweka kitu cha photoshop ukikutana nae live mvutoless na mkitambi
 
Huku hakuna atakayesema ukweli kwa kuwa wengu wanajidai sio facebooker. Facebook imemaliza mambo yote. Ujinga wa fb kama watu wengi wanavyoongelea ni friends ulionao coz kuna option ya kurestrick watu usiowataka.

Kwanza suala linalonishangaza humu Jf watu wanakandia sana fb ila JF ikiondoka hewani utaona watu kibao wa JF wapo Fb wanalalamika/kutoa taarifa Jf main site haipo hewani.
 
Kuna ubishani niliukuta sehemu walikuwa wakiulizana kati ya JF, Twitter na Facebook ipi bora?

Tuwasaidie hao watu.

je? Hao watu wanataka kujua ubora upi? Maana mitandao yote hiyo kila mmoja una ubora wake.mf moja ya ubora wa jf nikwamba member wote wapo huru kueleza chochote kinacho fundisha mradi wasivunje sheria za jf.
 
jf ni bora cos upo huru kusema chochote, mf. kuomba ushaur wa kimahucano,kiafya,kibiashara etc. ukiwa huru. unaweza omba ushaur wa kiafya kuwa unawashwa kunako naniliu ukapata ushaur na ukapona. bt fb huwez kujiexpose sana. viva jf...
 
Huku hakuna atakayesema ukweli kwa kuwa wengu wanajidai sio facebooker. Facebook imemaliza mambo yote. Ujinga wa fb kama watu wengi wanavyoongelea ni friends ulionao coz kuna option ya kurestrick watu usiowataka.

Kwanza suala linalonishangaza humu Jf watu wanakandia sana fb ila JF ikiondoka hewani utaona watu kibao wa JF wapo Fb wanalalamika/kutoa taarifa Jf main site haipo hewani.

Pokea LIKE zangu Nkamugwahngu
 
Tuwe wawazi na sio wanafiki. JF ni forums, Facebook ni social network na Twitter ni micro-blogging site. Ni sawa na kuwafananisha mcheza gofu, mcheza mpira wa miguu na mwanariadha yupi bora eti kisa wote ni wanamichezo!
Tunapoongelea uhuru, kwani fb na twitter kuna moderators kule wa kukufutia posts zako? JF ni nzuri coz inaruhusu watu hata wasio rafiki zako ku-interact na wewe na wewe na wao. Uzuri na ubaya wa fb na twitter unategemea na aina ya marafiki na followers.
 
fb juu
kuna sehemu ya like sio huku mpaka uandike mwenyewe "pokea like hiyo" halafu pia watu wa jf wanaficha identity zao kuliko hata fb
 
Back
Top Bottom