Kati ya ITV na TBC, ipi ni TV ya Taifa

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Kwa taarifa za habari ITV hutangaza wastani wa habari za kitaifa 9, wakati TBC hutangaza wastani wa habari za kitaifa 4. Je nitakuwa sahihi nikiita ITV kama TV ya taifa , na TBC kama tbccm? au nitakosea....
 
TBC=Tanzania Broadcasting Cooperation
ITV=Independent TeleVision
Hapo naona TBC ndio ya Taifa na inatumiwa na CCM
 
kwa taarifa za habari itv hutangaza wastani wa habari za kitaifa 9, wakati tbc hutangaza wastani wa habari za kitaifa 4. Je nitakuwa sahihi nikiita itv kama tv ya taifa , na tbc kama tbccm? Au nitakosea....

Vyombo vyote vya habari Tanzania sio uhuru. Wanafiki watupu. Ati proffesional journalism. Hamna lolote. Ni professional biasness. Ndio maana zamani kidogo watanzania walitegemea idhaa ya kiswahili ya BBC, sauti ya ujerumani, idhaa ya kiswahili ya irani, idhaa ya kiswahili ya india, radio japani, idhaa ya kiswahili ya ufansa, idhaa ya kiswahili kutoka Maakatul Mukarama n.k. Kwa hali ilivyo sasa hatunabudi turidie utamaduni wetu.

 
Ni puzzle ingine kama ile iliyoawahi mshinda Waziri wa pesa Mzee Basil PESA-2 Mramba.Kati ya ATC na Precesion Air ipi iwe national carrier?Kuondoa shida ikabidi akatuudhi n akutuchekesha kuwa tutakaula hata majani....
 
Back
Top Bottom