kweli kabisa
umeongea kila kitu wangu!
Mwaaaaaaaah!
acha kupiga paipu,kuna watu kibao wamepewa masharti ya ajabu na waganga ili wapate utajiri na wamekubali,likiwemo sharti la kupaka dawa niniliyu na kuingiza kwenye uke wa mama mzazi,chezea greed wewe.Wewe unaesoma hapa, awali nitangulize neno - Hali yako my fellow member! .
Kisha nikuulize hivi :-
Wewe aidha ni Mkaka au Mdada uko na maisha ya kawaida, haya ya mahitaji makubwa kuliko kipato.
Ukikamilisha hili , lile bado, lile ukilikamilisha , mengineyo yameshajongea.
Panatokea mganga mtaalamu, ambae inathibitika kwamba akikufanyia mandingo UMASKINI na UFUKARA ulokua nao utakua baibai, kwa kukufanya wewe kua TAJIRI.
Lakini yote kwa yote liko SHARTI ambalo kwalo ulikubali ndiyo azma au ukitakacho kiwe.
SHARTI ni kwamba ili ufanikiwe UTAJIRI kama wewe ni Mkaka kuanzia siku unapewa ushefa hutotakiwa kufungua zipu ama mnaita ku'DO kwa maisha yako yote.
Aidha wewe ni Mdada sharti ni hilolo unakua Mult millioner na hutotakiwa kuguswa na mwanaume hadi ufe .
Wapi pa kuelekea between that two ways .
Naomba kutoa hoja.