sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,418
depends ndugu wanakaa kufanya nini.., binadamu tunasaidiana kwahio huwezi ukaacha kusaidia watu kwa kuogopa maneno, kama ndugu anakaa kwa mpito either anatafuta kwake au anasoma kwa muda mfupi au anatafuta maisha sio anakaa mradi anakaa tu.., pia hata ukikaa nao unaweka wazi kwamba hapa hakuna vita (hakuna sisi wala wao, as couples hamta-entertain maneno na kama yapo nyie wawili mtakaa na kuyasort na kushauliana jinsi ya kuyasolve). Na ndugu lazima wajue pale ni kwa mume na mke (kwahio ndugu yoyote lazima awaheshimu nyie sababu pale ni kwenu na sio kwa ndugu), kwahio kama mmoja wa couple itabidi usikubali maneno kutoka kwa ndugu yako yanayowatenganisha nyie (yaani hayajengi)sun wu
Ushauri nilioupata toka kwako, ni couples kuwa na msimamo juu ya nafasi ya ndugu katika mahusiano!
Vipi hili la kukaa na ndugu wa upande wowote; halikaribishi maneno?
My point is nyie kama couple ni kitu kimoja (kwahio mtashauriana kusolve issues wote wawili.., na hizi issues ni pamoja na ndugu wenye matatizo)..., na nadhani kukaa na ndugu kama wapo jobless sio kuwasaidia, kuwasaidia inaweza ikawa ni kuwapa msimamo ili wajitegee.., kama ni kuja wanakuja kutembea na kuondoka (ukianza kuwatenga ndugu wa pande moja au nyingine ni kukaribisha maneno kwamba fulani hatujali sababu ya mke/mme wake)