Kati ya hawa Watatu, Nani unampenda?

Wote mafisadi tu ambao hawakustahili kabisa kuingia Ikulu au kushika madaraka yoyote yale ndani ya nchi yetu.
 
Mimi nawapenda hawa.....kwa ujumla wao......walau walifanya kazi kuleta uhuru

cabinet-baada-ya-muungano.jpg
 
Jamani, hao watatu ndio kina nani? Au ni wasanii wa nyimbo gani? Bora hata hiyo picha ya mchangiaji ndio nimemtambua ni Nyerere.
 
Back
Top Bottom