kati ya hawa viongozi pendekeza nani ashike uraisi 2015;

zamuta

Member
Nov 17, 2011
18
0
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.
 
Naona kimpumu cha week end kinakupeleka vibaya. Sawa, kwa mawazo yangu mimi naona wewe ndiyo unafaa kuwa rais kuliko yeyote uliyemtaja katika orodha yako.
 
nilivyouona huu uzii nilijua kuna kitu cha maana kumbe upuuzii, ungekuwa na upeo wa kufikiri usingemuweka wema sepetu
 
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.

Professor Issa G. Shivji, anafaa sana.
 
Afadhali niseme askofu wangu wote hao hakuna anayestahili. Kardinali Pengo atafaa zaidi, ingawa katiba ya kanisa hairuhusu, ingekuwa inaruhusu basi huyu angetufaa zaidi
 
kwa vile hujasema Urais wa kitu gani hapo 2015 haina shida mie nilidhani urais wa nchi...........maana hapo tayari kuna raisi wa TFF.....................any way Wema sepetu kwa uraisi uliomaanisha maadam sio wa nchi.,Hata kama ni urais wa kuwa na via vya uzazi(VVU) vikubwa poa tu.....kura nampa Wema
 
Mkuu ndio maana ya kupiga kura kwenye demokrasia wengi wapo na mengi yapo.Naomba chaguo lako.
 
Back
Top Bottom