Kati ya hawa utamwajiri yupi?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
black-man-job-interview2-300x200.jpg

Wewe ni mwajiri na unataka kumwajiri Project Manager wa kusimamia miradi ya utoaji huduma ya ushauri (consulting service delivery projects) kwenye kampuni yako. Umepokea CVs kwa ajili ya hii nafasi na katika kuzichambua unakutana na CVs za David and Simon.

CV ya David inaonyesha kuwa ni Consultant na Project Manager kwenye kampuni nyingine ambayo ni mpinzani mkubwa sana kibiashara kwa kampuni yako. Amefanya kazi kwenye hiyo kampuni pinzani kwa mudawa miaka kumi. CV ya Simon inaonyesha kuwa ameshawahi kuwa Consultant na Project Manager kwenye sekta mbalimbali za biashara kwa muda wa miaka kumi lakini ana experience ndogo sana kwenye sekta ya biashara ya kampuni yako.

Kielimu, David and Simon wamesomea vitu tofauti kabisa. David ana BS in Business, MBA na certificate in PMP (Project Management Professional). Simonana BS in Computer Science na MS in Marketing. Kati ya David na Simon unatakiwa uchague mmoja tuu kwa ajili ya interview. Utamchagua yupi na kwa sababu zipi?
 
Ningekuwa mimi ningemchagua David bilakujali anatokea wapi. Nitajali performance yake,experience na uaminifu wake.
Kutoka au kutaka kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake kuna bigezo vingi ambayo vitakuwa vimemuondoa huko na kwenye interview litakuwa moja ya mwaswali muhimu kuuuliza kwanini anaacha kazi kwa mwajiri wake.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nitamchagua Simon kwa sababu ana experince kubwa ya biashara na ni rahisi kumfundisha the way my business operates
 
  • Thanks
Reactions: EMT
black-man-job-interview2-300x200.jpg

Kielimu, David and Simon wamesomea vitu tofauti kabisa. David ana BS in Business, MBA na certificate in PMP (Project Management Professional). Simonana BS in Computer Science na MS in Marketing. Kati ya David na Simon unatakiwa uchague mmoja tuu kwa ajili ya interview. Utamchagua yupi na kwa sababu zipi?

Nitawachagua wote wawili kwa ajili ya interview, huwezi kuchagua mmoja kuhudhuria interview, ni upotevu wa muda na ukikuta hafai unafanye? kuhusu ajira itategemeana na yule atakayejibu maswali vizuri.
 
Ningekuwa mimi ningemchagua David bilakujali anatokea wapi. Nitajali performance yake,experience na uaminifu wake.
Kutoka au kutaka kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake kuna bigezo vingi ambayo vitakuwa vimemuondoa huko na kwenye interview litakuwa moja ya mwaswali muhimu kuuuliza kwanini anaacha kazi kwa mwajiri wake.

Kwa hiyo kwa kifupi utamchagua yeye kwa sababu tayari ana experience kwenye sekta ambayo kampuni yako inafanyia biashara?
 
Nitawachagua wote wawili kwa ajili ya interview, huwezi kuchagua mmoja kuhudhuria interview, ni upotevu wa muda na ukikuta hafai unafanye? kuhusu ajira itategemeana na yule atakayejibu maswali vizuri.

Tusema unajitaji kuita watu 10 kwenye interview na tayari umeshachagua watu 9. Imebaki nafasi moja na mbele yako una hizo CVs mbili. Alternatively, tuseme hata ungekuwa na nafasi ya kuwachangua wote wawili lakini bado wakafanya vizuri kwenye interview, utampa kazi nani?
 
mbona hao tisa hujapata shida kuchagua? Lol.
Hata kama utachagua hao wawili kwa ajili ya interview na wakafaulu wote itabidi uangalie na sifa za ziada. Kwa vyovyote hawawezi kuwa sawa kwa kila kitu. Mapacha wenyewe tu huwa hawafanani kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT choosing before granting an interview kwa woote... Is it not kind of unfair?

Labda if we are choosing bila kuwapa interview woote then nitaelewa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nataka ku-minimize matumizi - hawa wote watadai mishahara mikubwa na marupurupu kibao kwa hiyo nitatafuta mtu asiyesoma ZAIDI ila anaweza kunipigia kazi kwa uaminifu, kwa sababu ya sensitivity ya hii post lazima atariport kwangu moja kwa moja - Managing Director!!
 
Who knows. Inawezekana hao tisa wana qualifications zaidi yao? Uta-make your decision based on the information you have on hand. Mambo ya kusema itabidi uangalie na sifa za ziada, si ndio kutaka kudai rushwa, na makabrasha mengine huko? LOL.
 
EMT choosing before granting an interview kwa woote... Is it not kind of unfair?

Labda if we are choosing bila kuwapa interview woote then nitaelewa.

Sometimes you have to unfair to make a right decision. Ukianza kuangalia fairness, you might end up with employing a wrong person. Ndio umekuwa directed uchague mmoja tuu based on the two CVs and not otherwise.
 
Nataka ku-minimize matumizi - hawa wote watadai mishahara mikubwa na marupurupu kibao kwa hiyo nitatafuta mtu asiyesoma ZAIDI ila anaweza kunipigia kazi kwa uaminifu, kwa sababu ya sensitivity ya hii post lazima atariport kwangu moja kwa moja - Managing Director!!

haha haa. Kwa hiyo wote utawapiga chini?
 
mimi nitawauliza ni wapenzi wa chama gani cha siasa,atakaeniambia ni ccm huyo nampa kibuti kwanini lazima atakuwa mwizi.
 
napiga chini wote narudi home ubena zumozi kuchukua wajomba zangu waje kupiga kazi...........elimu kitu gani??
 
mimi nitawauliza ni wapenzi wa chama gani cha siasa,atakaeniambia ni ccm huyo nampa kibuti kwanini lazima atakuwa mwizi.

Kwa hiyo, utawapigia simu uwaulize? Maana uamuzi itabidi ufanye based on their CVs ambazo hawajaweka ni wafuasi wa chama gani.
 
Back
Top Bottom