Kati ya Dr Jakaya au Dr Slaa nani Maarufu?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!
 
watanzania wa aina gani? labda wale ambao hawajapigika. Lakini kwa wale waliopigika na maisha magumu na wale walio makini....... the opposite could be true.
 
watanzania wa aina gani? labda wale ambao hawajapigika. Lakini kwa wale waliopigika na maisha magumu na wale walio makini....... the opposite could be true.
Ushindi ni ushindi tu, kwani hata Obama anaongoza kwa kuwa na muelekeo wa kurudi madarakani kwa mtizamo wa maoni ya mtandaoni. Anyway, ni mtizamo wangu.
 
Kwa usanii tunakubali lakini sio kwa mambo tangible ya kuwanasua wa tz katika lindi la umaskini na kero kibao. Inapokuja kwa shughuli za Bongo Fleva, Mzee Yusuf na diamond ok. Dk (wa kweli) W. Slaa yuko katika fani ya kazi makini hivyo siyo vyema kuwalinganisha katika mizani. Ni budi JF tukawa na mijadala yenye mashiko na wachangiaji ambao kiwango chao ni hafifu kuliko form 2 wapumzishwe wapigwe msasa. Hakuna cha facebook, twitter wala nini kwani ni hao hao washabiki.
 
kumlinganisha dr slaa na dhaifu kikwete ni sawa kuchukua maji yenye mapolimoko na yenye nguvu kubwa ulinganishe na maji machafu yaliyotuama kwenye mitalo ya wahindi maeneo katikati ya mji wa dzm(posta),
 
hizo ni takwimu zako na familia yako, maana ni chini ya robo ya watanzania waweza kuvutiwa na utendaji wa Dr wako kikwete
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!
Hivi facebook huwa kuna brain au ni play boy excluding being wealthy
 
... mtu ukisha kuwa mshabiki bwana akili yako inakuwa imekufa ganzi!! wajua siku zote kinacho mhukumu mtu ni DATA! sio maneno matupu
 
bado swali la msingi halijitoshelezi ili liweze kujibika bila kuacha shaka...
unaposema nani maarufu inabidi kui-qualify statement, maarufu katika nini?? Vinginevyo huwezi kupata picha ya unachohitaji kutoka kwa watu makini....
 
we chezea dhaifu wewe! jk mtembezi lazima awe maarufu maana anazurura huyooo
kwenye misiba yumo
kwenye maharusi yumo
kwenye nec yumo
kwenye mechi taifa yumo
kwenye g8 yumo
kwenye jf yumo ,ila sijui id yake! sasa kwanini asiwe maarufu
 
Wabongo bwana wanafiki sana. Angekuwa Dr Slaa ndiyo anaongoza ungesikia mineno hiyo ya pongezi. Mpeni chake Dr JK
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

Hii nayo ni hoja ya kuwasilisha kwa GT?
Cant go that low........
 
Hii nayo inaweza kuwa njia sahihi ya kupima umaarufu ama kukubalika kwa mtu?
Mbona mimi nimelike fb page zao wote na ninawafollow wote katika twitter.
 
safi, ila naomba uniambie Slaa ni doctor wa nini?

Slaa ni Dr. wa aliyefanya thesis siyo degree ya mezani (heshima). Ndo maana wanutofauti mkubwa mbele ya wasomi. Nyerere walikuwa nzao nyingi kama hizo lakini hakuwahi itumia kama jamaa anatumia kuzungukia dunia nzima.

Aibandike ukutani tu kama tunzo zingine.
 
Hapo REDET watakuwa wamechakachua, mbona likes za humu JF hukuziweka?
 
Back
Top Bottom