Kati ya CCM, UKAWA na Mwenyekiti bunge la katiba, ni nani anakwamisha upatikanaji wa katiba

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,027
930
Hawa ndio wanaweza kutupatia katiba mpya ama kutukosesha.
1. CCM hawa ni wahusika wakubwa na wana nguvu ya kiserikali na kwa uwingi wa wabunge wa bunge la katiba.
Kwa kuutumia mfumo uliopo wa kuteuana na wakafanikiwa kuwapata wapenzi na makada wao ili wawakilishe makundi mbalimbali katika wale wajumbe 201.
*kwakuwa wamekataa kuukubali ukweli wa maoni ya watanzania ambayo ndiyo yaliyotolewa katika rasimu ya pili.
Je, tuwaite magaidi wa upatikanaji wa katiba mpya?

2. UKAWA huu ni umoja wa katiba ya wananchi,ambao unajumuisha vyama vitatu,ambavyo ni CHADEMA, CUF na NCCR.
Hawa wamejipambanua toka awali katika misimamo yao kwa kutetea pale wanapoona ni kwa maslahi ya Watanzania
mfano:

*Kuipigania kura ya siri.

*Kutetea namna ya ufunguzi wa bunge uweje kati ya raisi na mzee warioba nani atangulie,
tukikumbuka kuwa ilitakiwa mh.raisi aanze halafu amalizie warioba.
Je,wanafaa kuitwa magaidi wa katiba?

3.Mwenyekiti wa Bunge la Katiba huyu hashauriki na ni mbinafsi sana.

Je,nani anakwamisha
 
Bunge la Katiba au bunge la ccm? Kama la Katiba kwa nini watunishe msuli kukwepa meridians?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom