Kati mwanamke wa kirangi ,mmachame na mmbulu yupi anafaa kuolewa?

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Nimetokea kumpenda wanawake wa makabila hayo but nambiwa wote hawana sifa nzuri naombeni ushauri wenu wanajf bora yupi?
 
Sijawahi ishi nao

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mimi mke wangu ni mzuri kumtazama lakini matendo yake hayafai hhhaaaahaahahaa
 
Kuna siku humu ndani mtu atakuja kuomba ushauri wa jinsi ya kula ugali!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Is this a News Alert? Katika Mambo ambayo nitakuja Kumlaumu EL ni hizi shule za Kata
 
Is this a News Alert? Katika Mambo ambayo nitakuja Kumlaumu EL ni hizi shule za Kata

Nakwambia.... mwanafinzi anaulizwa Kilo 1 ya pamba na Kilo 1 ya chuma ipi nzito ... anajibu just easily,.. Kilo ya chuma.... yaani basi tu.... mwanafunzi anapitia 3 main stages hadi kuelimika...
1: mbumbumbu...
2: Confusion
3: Kuelewa/ educated

wengi wanabakia @ 2nd stage.... anakuwa CONFUSED... then his/her fuses cut-off.... then utawaona kwa maneno or vitendo...
 
Kuna siku humu ndani mtu atakuja kuomba ushauri wa jinsi ya kula ugali!

na watu tutampa tu ushauri sipati picha!
itakuwa kama hivi
ugali unapaswa kuliwa wa moto ila ukiwa wa baridi ukate kate uweke kwenye sahani kisaha nyunyiza maharage juu af tena kula!
ila kama ni wa moto mega kwa mikono kisha tengeneza kama donge hivi toeza kwenye mboga kisha ingiza mdomoni
utafute taratibu ili ulainike vizuri kisha umeze,ukisha meza kata tonge lingine fanya kama ulivyofanya mwanzo!
ahahahhaah watu bwana!yani sa hapa tumshauri nini?
 
Nimetokea kumpenda wanawake wa makabila hayo but nambiwa wote hawana sifa nzuri naombeni ushauri wenu wanajf bora yupi?

Madam wote ni wanawake wanafaa kuolewa, sula la nani na yupi na kwa criteria gani inategemea na wewe mwenyewe unataka nini na una details zipi kuwahusu hao wanawake. Na upendo wa kweli haungalii kabila ndugu yangu nadhani tumeshahama ktk hiyo level ya kabila coz true love haitegemei na kabila la mtu hiyo kaa ukijua.Unless kama unataka kufanya majaribio!!!!!
 
na watu tutampa tu ushauri sipati picha!
itakuwa kama hivi
ugali unapaswa kuliwa wa moto ila ukiwa wa baridi ukate kate uweke kwenye sahani kisaha nyunyiza maharage juu af tena kula!
ila kama ni wa moto mega kwa mikono kisha tengeneza kama donge hivi toeza kwenye mboga kisha ingiza mdomoni
utafute taratibu ili ulainike vizuri kisha umeze,ukisha meza kata tonge lingine fanya kama ulivyofanya mwanzo!
ahahahhaah watu bwana!yani sa hapa tumshauri nini?

Inabidi liwekwe jukwaa la watoto, maana wakikaa tu kwenye Computer kinachowajia kichwani wanapost.
 
Nimetokea kumpenda wanawake wa makabila hayo but nambiwa wote hawana sifa nzuri naombeni ushauri wenu wanajf bora yupi?

Yeyote mwenye tabia nzuri anafaaa kuolewa, kwenu wewe unataka kuoa kabila au mke? Maana haya ya kabila fulani huwa na tabia fulani sidhani nadharia hizo zinafanya kazi mpaka siku hizi.
 
Anaye faa ni yule uliye kubali tabia zake na unampenda kweli.
 
Ukimaliza kuulizia makabila uje uulize na dini, rangi, ufupi na urefu, unene na wembamba nk
 
Umeshafanya nao mapenzi wote..?

Kama ndio..
Jibu unalo.
 
Back
Top Bottom