Katani kupokea wanachama waliojiunga CHADEMA

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
jmwenyekiti wa CUF wilaya ya tandahimba katani Ahmed katani leo anatarajiwa kukabidhiwa kadi za chadema ambazo majuzi tu wanachama hao walijiunga na chama hicho mtwara mjini, ambapo wengi wao wanasema walikuwa hawajui chama hicho kina ubaguzi wa udini na ukabila kwa hiyo wameamua kurudi kwenye chama chao ni vijana wengi wapatao karibu 330 ambao wapo hapa ofisi ya wilaya ya CUF mtwara mjini.
 
Yaonekana usiku hukupata usingizi,kweli chadema itawaua kwa presha mwaka huu,umeona bora uwe kada wa cuf kwa kuangalia upepo unakoelekea!!
 
Hizo mtakuwa mmezitengeneza wenyewe na kuwagawia wanaCUF ili wazirudishe tu, lakini kumbukeni moto wa Chadema ni mkali kamwe hamuuwezi
 
chadema wanachofanya kusini ni sawa na kupanda mbegu juu ya jiwe,

Hii ni dharau kwa watu wa kusini kuwalinganisha na mawe..........hata hivyo ziko mbegu humea vizuri juu ya mawe

na kuwa miti kabisa!

amistad0169.jpg
 
CUF kweli mnatia huruma, poleni na kuolewa na CCM ndoa ikiwa ngumu ivunjeni tu
 
Tangu nizaliwe sijawai huona mkutano ukifanyika kwenye gofu/pagala:

5dba1676-a89c-6c75.jpg

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
jmwenyekiti wa CUF wilaya ya tandahimba katani Ahmed katani leo anatarajiwa kukabidhiwa kadi za chadema ambazo majuzi tu wanachama hao walijiunga na chama hicho mtwara mjini, ambapo wengi wao wanasema walikuwa hawajui chama hicho kina ubaguzi wa udini na ukabila kwa hiyo wameamua kurudi kwenye chama chao ni vijana wengi wapatao karibu 330 ambao wapo hapa ofisi ya wilaya ya CUF mtwara mjini.
RIP CUF....RIP Mkigoma!
 
Back
Top Bottom