Kata zilizoko wazi mpaka leo!

Kata ya daraja moja Arusha Mjini alikufa diwani wa magamba. Kwa Arusha tutarudisha kata zetu zote na hizi mbili za wagamba na mbunge. Itabidi Meya ajiuzulu maana bajeti zitakuwa hazipiti
 
Kata ya Lwenzera-Geita diwani Anatori Mkufu wa CCM alifariki Dunia baada ya kugongwa na gari Februari mwishoni mwaka huu.
 
1. Sombetini - Arusha.
2. Sengerema - Tabasamu.
3. Buchosa - Tzeba.
4. Iringa - Alijinyonga diwani wa Magamba.
5. Ongeza kata zingine!

hakuna kata ya sengerema na buchosa. Tabasamu ni diwani wa kata ya nyampulukano na tizeba (kaka yake na charles tizeba) ni diwani wa kata ya lugata zote ziko sengerema. USIKURUPUKE.
 
.......Kata mojawapo katika jimbo la nzega.....ambayo iko jirani na kata ya Isanzu, Diwani wa CCM alifariki
 
Back
Top Bottom