Kata ya Daraja Mbili Arusha

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Jamani kata hii ya daraja mbili katika manispaa ya Arusha haina diwani kwa muda wa miezi mitano sasa. Hii ni kutokana aliyekuwa diwani wa ccm kufariki dunia mwaka jana.
Kwanini tume ya uchaguzi haitangazi kuwa nafasi hiyo ipo wazi?
 
Umesema iyo kata iko wapi vile...., aaah arusha kwa kamanda wa ardhi lema, aaah magamba kwsha kazi kule, ushaur wa bure: uchaguz uktangazwa magamban achaneni na hiyo kata kama walivyofanya cuf arumeru, ili kuokoa hela za chama.
 
Jamani kata hii ya daraja mbili katika manispaa ya Arusha haina diwani kwa muda wa miezi mitano sasa. Hii ni kutokana aliyekuwa diwani wa ccm kufariki dunia mwaka jana.
Kwanini tume ya uchaguzi haitangazi kuwa nafasi hiyo ipo wazi?

Usihofu mkuu, uchaguzi wa D bee utaunganishwa na zile kata tano za wale madiwani tuliowavua udiwani kwa utovu wa nidhamu.
 
kha alaf iyo ni mawazo mpaka kichwa inakuwa nzito,kuna raiya cjui kangoa rasta ama amenyoa,kfup kajipga para.TAFAKARI!!!
 
Back
Top Bottom