Kat ya LIVERPOOL na CHELSEA je ni nan bingwa leo?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Wanamichezo wenzangu baada ya jana THE GUNNER , M2 MJI NA M2 UNITED leo ninataka kujua ni nan mkal mana kwa mtazamo wangu ninaona hz timu mbili zinaweza zote zakashnda. Ila asilimia kubwa zinatoka DROW. Babake je mnaonaje kwa mtazamo wako?
 
YAhh itakuwa ni Mechi yenye Tension na ushindani wa hali ya Juu, hasa kwa kile kitendo cha Torres kuingia ndani ya DARAJA la Stanford
1)Mechi ya kwanza ya Ligi Chelsea alichapwa mbili, lakini walicheza sana mpira,

2)Chelsea na Liverpool zote zilikuwa zinasuasua, japo Chelsea walianza kusuasua katikati mwa raundi ya kwanza, wao Liver walianza kusuasua tangu mwanzo mwa msimu

3) Timu zote zinaonyesha matumaini angalau ya kurudi kwenye form, kumbuka hapa sizungumzii usajili mpya wa Liver na DA Blues (Wazee wa Darajani)

4) Kwa Mtazamo wangu mechi ya Leo Chelsea watashinda zaidi ya goli Mbili naona mechi itakuwa CHELSEA 3 vs LIVERPOOL 0
 
mh! Kituko me cjui ila huo ndo mtazamo wako haya ngoja 2one
 
I cant see this game going over the spread despite of Chelsea being on fire this season!
Chelsea have won eight out of 10 games in the Premier League! Only losing the away game to Manchester City, very impressive display Carlo boys have managed this season so far.
Liverpool cant say they have been as impressive as Chelsea, in fact they havent been nowhere near that standard. So its fair to say Roy Hogdson havent had the best start for Liverpool.
Theese games between Liverpool and Chelsea are usually very tactical and with hard play in central of the midfield. Liverpool will once again lineupp in their boring and ineffective 4-5-1 formation . Joe is injured and not ready to play against his former club. So it will most likely be Gerrard who have to play the advanced midfielder.
Chelsea will lineupp in their 4-3-3 who can quickly become a 4-5-1 once Liverpool have the ball.
Both teams have some missings for this game. Liverpool like mention are without Joe Cole, but also Daniel Agger and Fabio Aurelio are injured. Dirk Kuyt and Ryan Babbel are doubtfull.
Chelsea are without Lampard and Benayoun. Bosingwa and Essien are both rated doubtfull.
Even despite of Liverpool´s bad start to the season I cant see many goals in this game. It will be very tactical with a lot of fights in the midfield. There will most likely not be many chances in this game, so I will try a sneaky lay of over 2,5 goals as I cant see that happening.
 
duu! Hashycool huu utabili wako ila okay kwasababu ni mawazo yako sawa 2subili
 
Liverpool cant say they have been as impressive as Chelsea, in fact they havent been nowhere near that standard. So its fair to say Roy Hogdson havent had the best start for Liverpool.

Even despite of Liverpool´s bad start to the season I cant see many goals in this game. It will be very tactical with a lot of fights in the midfield. There will most likely not be many chances in this game, so I will try a sneaky lay of over 2,5 goals as I cant see that happening.

Pretty cool assessment but Roy Hogdson is no longer Liverpool's coach...
 
YAhh itakuwa ni Mechi yenye Tension na ushindani wa hali ya Juu, hasa kwa kile kitendo cha Torres kuingia ndani ya DARAJA la Stanford
1)Mechi ya kwanza ya Ligi Chelsea alichapwa mbili, lakini walicheza sana mpira,

2)Chelsea na Liverpool zote zilikuwa zinasuasua, japo Chelsea walianza kusuasua katikati mwa raundi ya kwanza, wao Liver walianza kusuasua tangu mwanzo mwa msimu

3) Timu zote zinaonyesha matumaini angalau ya kurudi kwenye form, kumbuka hapa sizungumzii usajili mpya wa Liver na DA Blues (Wazee wa Darajani)

4) Kwa Mtazamo wangu mechi ya Leo Chelsea watashinda zaidi ya goli Mbili naona mechi itakuwa CHELSEA 3 vs LIVERPOOL 0

Muungwana huwa anaomba radhi!
 
I cant see this game going over the spread despite of Chelsea being on fire this season!
Chelsea have won eight out of 10 games in the Premier League! Only losing the away game to Manchester City, very impressive display Carlo boys have managed this season so far.
Liverpool cant say they have been as impressive as Chelsea, in fact they havent been nowhere near that standard. So its fair to say Roy Hogdson havent had the best start for Liverpool.
Theese games between Liverpool and Chelsea are usually very tactical and with hard play in central of the midfield. Liverpool will once again lineupp in their boring and ineffective 4-5-1 formation . Joe is injured and not ready to play against his former club. So it will most likely be Gerrard who have to play the advanced midfielder.
Chelsea will lineupp in their 4-3-3 who can quickly become a 4-5-1 once Liverpool have the ball.
Both teams have some missings for this game. Liverpool like mention are without Joe Cole, but also Daniel Agger and Fabio Aurelio are injured. Dirk Kuyt and Ryan Babbel are doubtfull.
Chelsea are without Lampard and Benayoun. Bosingwa and Essien are both rated doubtfull.
Even despite of Liverpool´s bad start to the season I cant see many goals in this game. It will be very tactical with a lot of fights in the midfield. There will most likely not be many chances in this game, so I will try a sneaky lay of over 2,5 goals as I cant see that happening.

Taarifa zako za Daniel Agger na Frank Lampard ulitoa wapi? And Ryan Babel si ameuzwa? Roy ameondoka muda Liverpool au ulikuwa unaongelea mechi ipi?

All in all the formation and who played isn't a question anymore! And, we won!
 
mech nimeona ila goli mmepewa liverpool co cr goli mmepewa mana ni offside yan mmepewa live gol lile kama vp subirin kesho uchambuz wa mbele muone
 
Acha kuangalia TV za kichina! Did you even watch the game?
 
mech nimeona ila goli mmepewa liverpool co cr goli mmepewa mana ni offside yan mmepewa live gol lile kama vp subirin kesho uchambuz wa mbele muone
Wewe unaweka picha ya Theo Walcott halafu unaonyesha kama hauipendi au unachukia Liverpool kama nimekunukuu vibaya,wakati mwenyewe Walcott ni Liverpool damu sapota
 
Back
Top Bottom