Kasulambai ahukumiwa miezi saba jela


usimsikilize ni lile ffungu la kikundi cha propaganda la nape ambalo wanagombania kati yake na mukama.Ni fungu nono ambalo vijana wanapewa kufanaya propagada hata za kijinga kutetea meli ziendelee kuua watu.Kiukweli hana shitaka tena, na ksei yao imefutwa na haitaendelea tena katika mahakama yeyote.waache waropoke na propaganda za kijinga .Vijana sikileni , jitahidini kweka thread za kusaidia umma kimaslahi ya taifa na si kuwa jukwaa la umbeya wa kijuweni bila uthibitisho.
 
Mkuu Honey K! hiyo K... inanitatiza namna fulani.
Back to the topic.
Wanaojimaliza ni ccm ambao wamekumbatia nguvu ya dola kwa maana ya polisi na mahakamaa, jumlisha usalama wa taifa.
Watanzania wanaona, adhabu yenu 2015 siyo mbali. You are to prepare to flee out of the country seeking asylum!
Mungi ID nyingine utata mtupu et Honey K, K sijui inamananisha nini.
 
Last edited by a moderator:
Kweli nape huu mwaka utapagawa,vijana wako hata kufikiria sijui wanatumia nini,eti honey K na wenzako hoja zao zimekaa kimavimavi....aibu zenu.
 
Spika wa JF, naomba mwongozo kwani tunaweza onana wabaya humu ndani.......Please Madam,....ooh no Mr Spika, aaaaaaaaaaaaaaaaaagh! Honorable Mod.
 
Mimi pia naunga mkono hoja, na ndio maana niliomba mwongozo kwa "SPIKA" wetu wa JF.
 
Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs Milioni moja ya fidia!
Ikulu wamemsaidia mhe. kasulumbai asipoteze ubunge wake.SIKUBALIANI NA HUKUMU HII

kama hukubaliani na hukumu toa yako maana wewe jaji!imbecile!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom