Kasulambai ahukumiwa miezi saba jela

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs Milioni moja ya fidia!
Ikulu wamemsaidia mhe. kasulumbai asipoteze ubunge wake.SIKUBALIANI NA HUKUMU HII
 
Magwanda kwishney!!!!
 
mbona kuna taarifa humu zinasema kuwa hawakupatikana na hatia yoyote! vipi hii!!?
 
mfumo kristo huo! ingekuwa cuf hapo hakuna faini ni kifungo tu. nchi sijui inaelekea wapi?
 
Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs Milioni moja ya fidia!
Ikulu wamemsaidia mhe. kasulumbai asipoteze ubunge wake.SIKUBALIANI NA HUKUMU HII

umekosea cord namba!
Hapa ni motuary, unamuulizia marehemu yupiiiii?
Ndiyooo, maiti yanu ya ccm ndio inaoshwa na viongozi wote wa dini wapo tayari kuiswalia na kuiombea, unaweza kuwahi msibani!!!
 
Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs Milioni moja ya fidia!
Ikulu wamemsaidia mhe. kasulumbai asipoteze ubunge wake.SIKUBALIANI NA HUKUMU HII

Nape usimlipe posho huyu, hafai kwa kuwa hafuati maadili na mikakati tuliyojiwekea ikiwemo kuanzisha mada za uongo unaofanana na ukweli.
Narudia tena nape usimlipe posho Kageuka.
 
Last edited by a moderator:
Mods...hakuna namna ya kumwadhibu muanzisha mada kwa kujaribu kuupotosha umma?
 
Magwanda kwishney!!!!

Mkuu Honey K! hiyo K... inanitatiza namna fulani.
Back to the topic.
Wanaojimaliza ni ccm ambao wamekumbatia nguvu ya dola kwa maana ya polisi na mahakamaa, jumlisha usalama wa taifa.
Watanzania wanaona, adhabu yenu 2015 siyo mbali. You are to prepare to flee out of the country seeking asylum!
 
Last edited by a moderator:
mkigoma unaingiza benki shillingi ngapi kwa ajili ya Religion Hatred hapa JF kila kukicha!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom