eRRy
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 1,125
- 204
Jamaa mmoja alinunua KASUKU,,, Lakini alikua anamkera sana kwa kua alikua
anatukana sana matusi makubwa.
Akaamua amrudishe kwa mwenye duka alipomnunulia ili am'badilishie ampe
kasuku mwengine mstaarabu.
Mwenye duka akamwambia. Ok nitakubadilishia, tena huyu hapa wa sasa ni
mstaarabu sana, na cha nyongeza.
Akinyanyua mguu wa kulia anazungumza Kizungu, Akinyanyua mguu wa kushoto
anazungumza Kiarabu.
Jamaa akauliza! Je akinyanyua miguu yote miwili??
KASUKU akarukia... (Sasa we Khanithi nini!! .. SI NITAANGUKA)