Kasimu Majaliwa lifanyie kazi hili

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Walimu tunafanya kazi katika mzingira haya
.Hatuna vitambulisho vya kazi tulio wengi.
.Barua za kusibitishwa kazini
.TSD No
.Kadi za bima ya afya hatuna,wakati hela tunakatwa n.k
hebu fuatilia Rufiji fanya utafiti mashuleni,ukipita halmashauri watakudanganya, hivyo vitu ni muhimu sana kwetu.
 
Back
Top Bottom