Kashfa za Serbia hizi hapa.....

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,794
3,847
images

=

images
 
black is beautiful wanaogopa ndo mana wanatufanyia ivo ili tukate tamaa na tusiwafunge
 
Hii kitu sijui itaisha lini kwa wazungu vichwa maji.!
Hivi who cares kama mtu anakuita wewe monkey au gorilla au anakuona a lesser being (hilo ni tatizo lake na akili yake ya zama za kale)

Jinsi ya kuwashinda watu kama hawa ni kuwaacha wapige kelele zao na wewe kufanya kazi yako (in case of football let your skill do the talking na uwapige mabao) mwisho wa siku watakupenda tu.., ila ukileta hasira sio kwamba ndio watakupenda

Anyway hivi ukiitwa a monkey ndio unakuwa a monkey ?
 
Nilikuwa sijakuelewa@MadameX,ila baada ya kuangalia BBC swahili ndiyo nimekuelewa,kweli hawa weupe wanadharau sana
 
Hivi who cares kama mtu anakuita wewe monkey au gorilla au anakuona a lesser being (hilo ni tatizo lake na akili yake ya zama za kale)

Jinsi ya kuwashinda watu kama hawa ni kuwaacha wapige kelele zao na wewe kufanya kazi yako (in case of football let your skill do the talking na uwapige mabao) mwisho wa siku watakupenda tu.., ila ukileta hasira sio kwamba ndio watakupenda

Anyway hivi ukiitwa a monkey ndio unakuwa a monkey ?

Usikubali kudhalilishwa, aliye kuumba kakuumba kama mwanadamu iweje ukubali kuitwa monkey?
Hawa jamaa ni wabaguzi, huo ndo ukeweli wala usijaribu kuwatetea.
 
Usikubali kudhalilishwa, aliye kuumba kakuumba kama mwanadamu iweje ukubali kuitwa monkey?
Hawa jamaa ni wabaguzi, huo ndo ukeweli wala usijaribu kuwatetea.
wazungu ni washenzi sana kaka mbona wao wana ngozi kama nguruwe sisi hatusemi na sisi tungeanza kuwaita nguruwe naamini wataacha tuanze kuimba kwa nguvu zetu zote wataacha upuuzi wao.
 
Usikubali kudhalilishwa, aliye kuumba kakuumba kama mwanadamu iweje ukubali kuitwa monkey?
Hawa jamaa ni wabaguzi, huo ndo ukeweli wala usijaribu kuwatetea.

Nani kawatetea ?, ukweli ni kwamba reaction ya hasira kwako itakuwa imetekeleza walichotaka kufanya (wewe ukasirike)

In short mtu hata akiniita Monkey au gorrilla sio kwamba ni kweli mimi ni monkey au gorrilla.., Ila nikikasirika na kufanya reaction (wanakuwa wameshinda), kwahio mkuu the only way to get back to these (old fashioned, gentilian people) is to keep your head down and let your skills do the talking.

Hivi wewe nikikuita Gorrilla utakasirika ?, (kwani unafanana na gorrilla) ?, in short ninaimani na beauty of my ancestors na mimi mwenyewe calling me names kwamba nafanana na sijui nini will make no difference
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom