Kashfa nzito dhidi ya Manji...

Hapa naona ndio kuna issue nzito sana. Ukiondoa hao watoto binafsi naamini kwa mtu mwenye nafasi kama ya Manji; kwani tunajua Manji amelelewa vipi na wazazi wake walikuwaje?
 
Mbona ile mada ya Mfanyabiashara aliyetoa Dola 200,000 ili mada za Mengi zirudishwe humu haikutaja jina la huyo mfanyabiashara lakini hakuna ambaye hajui kwamba ni Yussuf Manji, ambaye tabia zake zinatisha na watu hawasemi lolote..

Hey! Makubwa kumbe JF kuna ufisadi pia... Haya Invisible tufafanulie hapo tafadhali..
 
Mbona ile mada ya Mfanyabiashara aliyetoa Dola 200,000 ili mada za Mengi zirudishwe humu haikutaja jina la huyo mfanyabiashara lakini hakuna ambaye hajui kwamba ni Yussuf Manji, ambaye tabia zake zinatisha na watu hawasemi lolote..

Hey! Makubwa kumbe JF kuna ufisadi pia... Haya Invisible tufafanulie hapo tafadhali..

Kabla hajajibu naona humu anatajwa na watu wameanza kumchambua kama karanga...kwamba 'mtoto si rizk' ama ubwabwa... tena umeiva sasa wakati wa..... umefika, masinia yako wazi
 
baba yake manji [marehemu..alimzika marekani majuzi ]..alikuwa mfanyabiashara maaarufu akidili sana na jujenga bodi za mabasi na kuuza vipuli...aliyekuja kuigeuza QUALITY kuwa kampuni ya kifisadi..chaddy deals ni manji..na kiukweli amefanikiwa ndani ya miaka 5 .tangu arudi masomoni na kupewa kampuni na babake kuongeza mara 10 utajiri wa familia yao..ingawa yeye hangalii makunyazi deasl yoyote nafanya..tofauti na mzee wake ambaye ali specialize...

manji kumfananisha na mengi kitabia si halali..kwani mengi analingana na baba yake kabisa...manji ni rika la kina REGINA...sasa kweli manji pamoja na kuwa na akili zinazomtosha yeye ..atakuwa alidekezwa kama watoto wa mengi walivyo..wana akili lakini pia nao wamedekezwa..sasa mnapomuangalia manji bwabwa mwangalieni na mtoto wa mwenyekiti mengi ambaye ni MSAGAJI...lengo langu hapa si hawa ..lengo langu ni umuhimu wa mjadala wa kitaifa kuhusu namna watoto wa wakubwa na matajiri wanavyolelewa na namna wanavyojiingiza kwenye utumiaji wa mihadharati na tabia nyingine zisizofaa...tuangalie kwa upana huo..
 
lengo langu ni umuhimu wa mjadala wa kitaifa kuhusu namna watoto wa wakubwa na matajiri wanavyolelewa na namna wanavyojiingiza kwenye utumiaji wa mihadharati na tabia nyingine zisizofaa...tuangalie kwa upana huo..

Ukweli ni kwamba hizi tabia hufanywa na watoto wa pande zote mbili, isipokuwa ni rahisi kuwaona wenye majina makubwa na in the process kutowaona kabisa watoto wa masikini au wananchi wa kawaida,

Zote ni tabia za kuiga, hakuna aliyezaliwa nazo, halafu pia in the process ya kuwachambua tuwe makini tusije tukawa tunaingilia uhuru wa wananchi hao kisheria, ni mambo yamekuwa yakifanyika siku zote isipokuwa ni kwa mara ya kwanza yanaanza kusemwa hadharani kutokana na mfumo mpya wa kisiasa tulionao, cha muhimu ni kwa taifa letu kupitisha sheria kali za kuhakikisha kuwa hatuhalalishi hayo mambo yao kisheria!
 
waarabu wa pemba....

wewe utajuaje Manji bwabwa kama hajakuomba tako? Jamani hivi Jf imedorora kiasi hiki? Mada za kisomi ziko wapi? Wewe MM Mwanakijiji aka Halisi mnafiki sana. Siku zote unasema mambo ya kula au kuliwa ni mambo private hata kwa kiongozi kama Zito. Leo mgosi wa Tanga mwenzio anakula uroda kwa Manji unaleta mada ya kuwaonea gele. Nitampa Manji namba yako hapo Troy naye akutafute akija maeneo ili nawe umtafune au akutafune. haya poa kijana wangu wa polisi kota.
 
Halafu unawasha moto kwa mijitu mimafia ambayo imekata tamaa na maisha, subiri sasa kiama baada ya masaa 240.
 
kwangu mimi suala la sexual orientation ya mtu sioni kama ni hoja yenye kumpunguzia mtu utu wake. wako gays na lesbians wenye uwezo kiakili na busara ya ajabu ya kuongoza kuliko hao viongozi wetu wanaojiona ni bora kumbe bure. Kitu kibaya kwa Manji labda ni hilo la kutumia mihadharati kama ni kweli.
 
Kabla hajajibu naona humu anatajwa na watu wameanza kumchambua kama karanga...kwamba 'mtoto si rizk' ama ubwabwa... tena umeiva sasa wakati wa..... umefika, masinia yako wazi

...Amaah! kama kweli jamaa ni chakula chenye afya basi nitupieni namba yake....

Jamani tukubali kwamba suala la malezi kwa watoto wa vigogo na magogo yamekuwa ni magumu. Wazazi hawa watukuka wanawapenda watoto wao kiasi kwamba wanaona kuwaonya ni insults. Nakumbuka niliwahi kukaa na dada wa rafiki yangu (family friend) ambaye alianza kunieleza ujinga wake na upuuzi wake, nilipomweleza ukweli na kujaribu kumjengea fikra za mabadiliko alianza kulia na kunitolea mineno kwamba hata baba yake hathubutu kumuingilia mawazo yake.... Hivyo ndivyo walivyojengwa, yaani wako huru kwelikweli.

Shime wana JF wenye familia, chungeni malezi kwa wanenu maana akina MATAKA watampitia kama mwewe kwa vifaranga.....
 
mimi hilo la mambo ya chumbani halinitishi sana kwani kwa yeyote aliyeishi Tanzania mambo haya siyo mageni na yapo kwa muda mrefu tu. Kinachonitibua mimi ni haya madai ya madawa ya kulevya, unethical conducts n.k Kuna tofauti ya mtu kuwa mtumiaji tu au kuwa mwagizaji pia. Je, yawezekana ndio maana JK alisema anawajua "vigogo wa madawa ya kulevya" na amewapa muda wajirekebishe?
 
Kabla hajajibu naona humu anatajwa na watu wameanza kumchambua kama karanga...kwamba 'mtoto si rizk' ama ubwabwa... tena umeiva sasa wakati wa..... umefika, masinia yako wazi
Halisi, kiswahili kinakugonga hadi unaweka.....,?? neno sahihi ni, tena umeiva sasa wakati wa kupakuliwa umefika.
 
na ukiangalia manji ni kama mtoto wa MENGI kwa umri..tabia ya manji fananisha na ya MAREHEMU MUTIE au BINTI REGINA..je tabia zao zinatofautiana na za mtoto wa tajiri MANJI????....je hamuoni linahitaji mjadala wa kimalezi hili???

Natafuta mke jamani, hebu nipeni data za huyu Regina jamani!! Msagaji ? duuuu kazi kweli kweli
 
Ilikuwa Jumamosi moja mchana , mimi na rafiki zangu watatu tukawa tunapata bia moja baridi kwenye bar moja maarufu hapa jijini. Mara story zikaanza,. Rafiki yangu akaanza kuelezea jinsi jirani yake alivyopata masuluba ya nguvu usiku wa jana. " Bwana jirani yangu jana kakatwa vdole na mke wake wa ndoa usiku wa saa mbili . Ajabu ni kwamba mwanamke alikuwa anapiga mayowe kuomba msaada lakini sisi tulivyoenda kuangalia ni nini na kutoa msaada hakufungua mlango badala yake alijibanza mlangoni akisema utaniua , sifungui , sifungui. Wakati huo wakaja majirani wengine tukaamua tuite mjumbe wa nyumba kumi ili ikiwezekana tuvunje mlango. Lakini kabla ya hapo mmoja wetu akaingiza kamti dirishani akasogeza pazia ndipo tulipoona maajabu. Mwanamke akiiwa uchi kabisa alikuwa anagugumia kama anayekemea pepo, huku mwanaume akiwa ameshilikia mkono wa kushoto akionekana kuwa na maumivu makali sana ,huku akijaribu kuufunga kwa kitambaa. Ndipo tulipopata uamuzi wa kuvunja mlango kumuokoa jamaa . Mwanamke kusikia mlanago unavunjwa akakimbilia chumbani akajifungia. Ndipo tulipomtoa jamaa na kumpeleka hospitali." Kilichosabaibisha ni simu, mwanamke kapigiwa simu na mwanaume akawa anajifanya ni shoga yake , kumbe simu ilikwa ikisikika. Jamaa kumnyanganya kusikilizia akashangaa kusikia sauti ya mwanaume huku mkewe akitia mbwembwe eti sawa shoga tutaonana basi kesho sweetie.

Tulisikitika wee huku kila mmoja akilaumu jinsi wanawake wanavyowatendea wanaume mambo mabaya hatimaye wanaume kulaumiwa kwa unyanyasaji. Mwingine akisema hamna mwanamke anayepigwa na mumewe bila sababu, mwingine akichangia ooo wanawake wamezidiwa na ufuska amabao huufanya kwa siri lakini wakishtukiwa wanakuja juu kumbe huku anafanya kweli. Kila mmoja alichangia kivyake vyake kiasi kwamba hata jamaa waliokuwa pembeni yute walisogea mezani kwetu na story zikaendelea. Mwingine akisema 'ngaalia sasa wanataka vitu vya bei mbaya na ili kufanikiwa anapanga wanaume hata wanne na wewe wa tano wa nyumbani. Ukiwa kazini yeye aah mara sokoni , mara kwa shoga kumbe anakwenda gesti. Si nusu saa tu inatosha ?


Ikaja mpya ya mwaka . Mmoja wa jamaa waliosogea mezani kwetu akasikiliza wee kisha akasema. Wazee acheni tu. "Mimi Bwana mke wangu hanipigi ila mzee mimi nikiingia tu usiku nimepiga kamtungi kangu hanisemeshi , wala kunipa msosi . Sasa kuingia jikoni na kuanza kupasha naona haingii akilini kwa hiyo nijirusha zangu kitandani. Nikishalala tu yeye hujisogeza taratibu taratibu na kuhakikisha ameniwekea tako lake karibu kabisa na pua yangu halafu anatoa ushuzi, harakaharaka aninifunika na blanketi ili hiyo harufu ibaki humo humo. Da nikiamka asubuhi mchovu kweli kweli nashindwa kujua ni shauri gani. Hili amelifanya kwa muda mrefu kweli hadi binti yangu mdogo aliponiambia siku moja kitu mamayake ananifanyiaga.Sikuamini hadi nikamkamata ready handed. Hebu fikiria chakula chetu kikuu ni makande na maharage. Ushuzi wake ? unaweza kujua jinsi nimenyanyasika" True story.
 
Jamani hivi Jf imedorora kiasi hiki? Mada za kisomi ziko wapi? Wewe MM Mwanakijiji aka Halisi mnafiki sana.

Mkuu heshima mbele hapo umepotoka kidogo, hao ni watu wawili tofauti, hapo umuombe radhi MMJ (Detroit), na pia Halisi(Bongo, Dar) pia, ila you might have a point kuhusu umuhimu wa hii mada kwa taifa, kama sio JF tu!
 
Hakika kuna sense hapo na ninachelea kusema kuwa hawa mafia wa madawa ya kulevya inawezekana ni wale wanaokula mezani pamoja na vigogo na wanaochangia saana ktk harambeee kiasi mabusu yanawaangukia motomoto.

Muungwana ameyaweka majina ktk albam yake au anayafanyia nini maana ni second year sasa. au anasubiri wakati wa kampeni ya pili awaibue? (turufu). Lakini ajue kuwa hawa jamaa hawasubiri mpaka waibuliwe maana mitandao yao inafanya kazi kama mchwa.. na vijana wanazidi kuharibikiwa na kuharibiwa huku wakingojea subira ya wakubwa ktk kuwashughulikia wasambazaji wa malevya..
 
CCM ni chama kikubwa kinachohitaji Katibu Mkuu msomi na aliyebobea katika maswala ya Uchumi na Utawala, siyo aina ya Makamba anayesema linalokuja mdomoni bila kufikiria kwanza. Hivyo si ajabu kwake kuwabusu hadharani (au hata ufichoni) wafanyabiashara wa aina ya Manji. Maskini!!! Inaelekea hajitambui. CCM mnao wasomi wengi, mwasemaje?
 
Where is Manji?Sijamsikia hata kule Yanga akiwa anachangia na kujitangaza kwenye magazeti ya michezo tangu uchaguzi wa CCM uishe ,je ?kapotelea wapi?
 
CCM ni chama kikubwa kinachohitaji Katibu Mkuu msomi na aliyebobea katika maswala ya Uchumi na Utawala, siyo aina ya Makamba anayesema linalokuja mdomoni bila kufikiria kwanza. Hivyo si ajabu kwake kuwabusu hadharani (au hata ufichoni) wafanyabiashara wa aina ya Manji. Maskini!!! Inaelekea hajitambui. CCM mnao wasomi wengi, mwasemaje?

Ntiru, huu ndio uzito wa mada yenyewe ulipo na ndio maana iko hapa katika jukwaa la siasa, maana huyu kijana wa watu (mtoto wa wenyewe)alitaka kugombea ubunge na alipigiwa debe na kubusiwa na mwanasiasa muhimu, Katibu wa chama tawalaa... hapo ndipo utamu wa mada unapoanza kuwa, kote ilikua chombeza taimu la blue monday watu bado wana "KONYAGI" zao za juzi na jana, sasa wanazinduka. Tujiulize CCM yetu inaelekea wapi kuendelea kuwa na watu kama Makamba, na kuendelea kuwa na eti wafadhili kama Manji, ambaye anachota bilioni 84 anachangia milioni 200 tena katika jimbo alilotaka kugombea halafu munaona kachangia. Halafu anachukua kampuni ya CCM ya Bahati Nasibu, halafu anaifilisi, anakuja baadaye anachangia milioni 50 katika sherehe za CCM anaitwa Mfadhili Mkuu wa chama... hapo ndipo tujiulize je , tunahitaji mtu asiye na maadili kutuchangia? Marehemu Salome Mbatia ambaye alibuni bahati nasibu ya CCM alikua na malengo ya kukifanya chama kisichotegemea mfadhili na kingekua na jeuri ya kusema "NO" wakampiga vita na kuamua kuua miradi ya chama. Leo akaja akapewa Dr Kigoda, baadaye ROstam na sasa Makala ambaye kwa kushirikiana na EL amebinafsisha hata jengo la UVCCM badala ya kukopa benki wakajenga. CCM yetu jamani tusikubali, tukatae kutawaliwa na watu ambao SI RIZKI kama wazee wana wa LOVE watumie muda wao wa mapumziko ama likizo hukoooo LUSHOTO, NGURDOTO na kadhalika
 
Back
Top Bottom