Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

Ama kweli Jamiiforums jukwaa la umbeya wa kiume....

Fafanua. .. Facebook ndio penye ukweli coz ya Wazungu. . Umbea ni mtu si jukwaa. Kama ni JF na wewe mbeya maana ni member. . Mtu akikosea mkosoe kama ufanyavyo twitter na Facebook. .. sijawahi kuona ukisema Facebook as twitter ni uwanja wa wambea wakati imeshatokea hata kuwekwa taarifa za kifo cha Mandela akiwa hai.
 
Back
Top Bottom